Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Loooh nakaziaaaaMkuu, Kwako ni mwemere mwemere!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loooh nakaziaaaaMkuu, Kwako ni mwemere mwemere!
Ndio nilitaka kukuambia ukamlete basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bibie mwenyewe kaja kwani
Hamna shida mimi mwenyewe ntamuelekeza salam zako sitakuwa zinapewa kipaumbeleNimeshamchana bro ila tumeyamaliza nilitaka tu ujue kua nilikutafuta sana
Nataka siredi yenu jamani,ya icebright[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unanini lakini mbona mkorofi hivyo
Loooh mambo gani tena hayaaaaahahaha kwa hiyo mixer hapo chief ujiandae na trip za ofisi kuu
Kanijibu kasema ajaibiwa yupo nayo mwenyewehata mim nimehis hivyo ujue
Jirani yangu hongera sanaJirani karibu sana
Ndo nipo nasubiri hapa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakuna namna
Hahaaaa. Nakazia na mie hapo.Oyoooooh braza umetokea?
Hongera sana ndugu yangu
Tumoo umeona lakini[emoji113] [emoji113]
Ngoja nikamlete mwaliNdio nilitaka kukuambia ukamlete basi
Mpenzi nashukuru unaishi na ndugu zangu vizuri sana.Alirudi kachoka sana shemeji yangu, na mimi huwa ninautaratibu pindi anapokuwa kachoka viungo vya mwili wake basi huwa nina mfanyia full massage [emoji4]
Wakati nikimsindikiza na maneno matamu tamu kama vile baby i really missing you, yaan ulivyoondoka nikawa naogopa kubaki mwenyewe, huku baridi na hii mvua next time itabidi tusafiri wote baby wangu.
Sasa zile salamu ningempa saa ngapi shemeji yangu?
Nisamehe tuu shem.
Asiyekuwa na wivu hana mapenzi
Kuna utaratibu wa posa, kutangaza siku kadhaa sherehe itakapofanyika, hayo yote ni kuwahabarisha watu juu ya kilichopo miongoni mwa wahusika.Eti siye si watu wanajua kuwa twapendana tayari kias hatuhitaji kifungua siredi
Kufungua sirediBado mm nn!?[emoji20][emoji30]
Akibisha unitag@Davet amesema eti alisha kupa ramani sasa ni nahodha mzuri tuu.