Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Demiss ww,..nakuona tyuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pole kwa kupanganika babe wangu9,7mpaka 8 babe... na wengine wamenipita...
Ahsante babe wangu,.ni kwa kila "kazo" tuu[emoji28]Pole kwa kupanganika babe wangu
Hahahaaa, haya sawa nilikua nakumbusha tu nikidhani mmesahauvuta subra mkuu ubwabwa bado kidogo
Kwa wanaojua Hisabati hasa kwa japo level ya kidato cha sita, huwa wanatumia njia mbalimbali kukokotoa lakini jibu lake huwa ni moja tu.Tehteh Ile ni hatareeeeeeeeeeeee Smart911 alinikeraga sana that time na tuliargue haswaaaa kumbe yeye moyoni ndo afuraaaaaaaahhhiiii mwenyewe huku mi Sina hili wala Lile Ile ya huyu kaka vipiii!!!?? [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] khakhakhaaakhakhaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwenyewe anicheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mmeamkaje lakini?Aisee