bado wewe tuKumbeeeeee Dah!!!
Nimechochea nn mie flat bombadia...Mchochezi!
Nimekumiss mm jamani
Hi shunieWooooooooozeeeeeeeeer
Hellow [emoji137] muosha naniliuHi shunie
WoyooooooooooMwifwa my bro,hongera sana kwa kupata chombo cha uhakika.
Nakupongeza sana!
Nadhani unatambua huyo mtoto almanusura awe wangu dah! Nikajichanganya! Kuwa makini usijichanganye maana neno msamaha huo msamiati hujui!
All the best ngoja niagize wine!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimechochea nn mie flat bombadia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia love moneytalk ana rafiki yake ambae chura ipo ngoja nijiongeze kwa shem wangu huyo huenda nami nikala mema ya JF braza!!
50\50 too hot here!Hellow [emoji137] muosha naniliu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuww nakuwaza wewe tu nilivyoona hii thread jamani vipi lakini uko poa usije ukawa unajiandaa kujinyonga50\50 too hot here!
Ninaleweka tyu!! Ganzi niliyopigwa toka Jana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuww nakuwaza wewe tu nilivyoona hii thread jamani vipi lakini uko poa usije ukawa unajiandaa kujinyonga
Jamani pole sana nikikumbuka ulivyokuwa unampenda ndugu yangu basi tena acha maisha mengine yaendelee tu utakuja mpata mwingineNinaleweka tyu!! Ganzi niliyopigwa toka Jana....
[emoji120] maumivu ninayopitia yanazidi uchungu Wa uzazi,poa tu,Mungu wetu sote, ngoja nisubiri ndondokela za jfJamani pole sana nikikumbuka ulivyokuwa unampenda ndugu yangu basi tena acha maisha mengine yaendelee tu utakuja mpata mwingine
Na usiache kumwomba Mungu kabisa muosha naniliu akupe mwanamke wa kufanana na wewe halafu kingine ule umapepe mapepe wako utulie si unajua uliharibu mpaka ndugu yangu akakimbia[emoji120] maumivu ninayopitia yanazidi uchungu Wa uzazi,poa tu,Mungu wetu sote, ngoja nisubiri ndondokela za jf
Nitajaribu shunie! Halafu Mimi maneno tyu huwa sio mlaji[emoji23] [emoji23]Na usiache kumwomba Mungu kabisa muosha naniliu akupe mwanamke wa kufanana na wewe halafu kingine ule umapepe mapepe wako utulie si unajua uliharibu mpaka ndugu yangu akakimbia
honeyKipenzi changu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Maneno laini hayo lazma mtoto aruke geti usiku wa manane akufate