The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

nilikuwa nasubiri baraka zako bebe
Niko hapa babe ndio nimefika nafuraha sana kuona Mwifwa anakupenda hivi mpaka kushusha thread ujue kushusha thread kama hivi sio jambo la mchezo mtu kaamua kujilipua usije mtesa mkaka wa watu kwa aina yeyote ile nawapenda sana yaan sana na huwa napenda kukuona ukiwa na furaha kama kipindi hiki
 
View attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.

Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.

Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.

Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.

Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
Hongera sana mkuu Mwifwa:
 
Niko hapa babe ndio nimefika nafuraha sana kuona Mwifwa anakupenda hivi mpaka kushusha thread ujue kushusha thread kama hivi sio mambo la mchezo mtu kaamua kujilipua usije mtesa mkaka wa watu kwa aina yeyote ile nawapenda sana yaan sana na huwa napenda kukuona ukiwa na furaha kama kipindi hiki
asante bebe wangu tuzidi kuombeana kheri
 
Back
Top Bottom