moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
nazidi kuchanika tu mwenzio,sio kwamahaba haya ya shemeji yakoWoyoooooooooo mama kama nakuona mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nazidi kuchanika tu mwenzio,sio kwamahaba haya ya shemeji yakoWoyoooooooooo mama kama nakuona mie
Niko hapa babe ndio nimefika nafuraha sana kuona Mwifwa anakupenda hivi mpaka kushusha thread ujue kushusha thread kama hivi sio jambo la mchezo mtu kaamua kujilipua usije mtesa mkaka wa watu kwa aina yeyote ile nawapenda sana yaan sana na huwa napenda kukuona ukiwa na furaha kama kipindi hikinilikuwa nasubiri baraka zako bebe
Khaaaa jamanihivi kwanini hufungagi mdomo wako lakini
Wooooozeeeeernazidi kuchanika tu mwenzio,sio kwamahaba haya ya shemeji yako
nitakukutanisha nae uangalie kama utaridhika na churaShem niunganishe na yule rafiki yako ambae ana chura please!
Ukiweza nitakupa zawadiNgoja niwe nice boy!
Mziki[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchovu wa nini shem?
sawa shem,nitamkagua kwanza lakini kuona kama chura iponitakukutanisha nae uangalie kama utaridhika na chura
hahaaa basi utazeeka mwenyeweShem mimi bila chura sina haja ya kuwa na mpenzi!....heri nikae tu single maisha yangu yote kuliko nikae na flat screen!!
Sasa utajuaje nimebadilika Mrs Davet!Ukiweza nitakupa zawadi
Hongera sana mkuu Mwifwa:View attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
asante bebe wangu tuzidi kuombeana kheriNiko hapa babe ndio nimefika nafuraha sana kuona Mwifwa anakupenda hivi mpaka kushusha thread ujue kushusha thread kama hivi sio mambo la mchezo mtu kaamua kujilipua usije mtesa mkaka wa watu kwa aina yeyote ile nawapenda sana yaan sana na huwa napenda kukuona ukiwa na furaha kama kipindi hiki
Si kutokana na post zako jamaniSasa utajuaje nimebadilika Mrs Davet!
Ameen babe hiko ndio cha muhimuasante bebe wangu tuzidi kuombeana kheri
usijal shemelasawa shem,nitamkagua kwanza lakini kuona kama chura ipo
Kwa nn jamani unakosaje lakini maka akeeMie sina shunie akee.
Shadakta hiyo zawadi ungenipa tyu in advance[emoji23]Si kutokana na post zako jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nijitokee tuntakuzabua wewe
Wewe Mwifwa alikukagua pia?[emoji53][emoji53][emoji53]usijal shemela
Nitakupa balimi 5 ukunyweeShadakta hiyo zawadi ungenipa tyu in advance[emoji23]