The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Mwifwa my bro,hongera sana kwa kupata chombo cha uhakika.
Nakupongeza sana!
Nadhani unatambua huyo mtoto almanusura awe wangu dah! Nikajichanganya! Kuwa makini usijichanganye maana neno msamaha huo msamiati hujui!

All the best ngoja niagize wine!
 
Jamani pole sana nikikumbuka ulivyokuwa unampenda ndugu yangu basi tena acha maisha mengine yaendelee tu utakuja mpata mwingine
[emoji120] maumivu ninayopitia yanazidi uchungu Wa uzazi,poa tu,Mungu wetu sote, ngoja nisubiri ndondokela za jf
 
[emoji120] maumivu ninayopitia yanazidi uchungu Wa uzazi,poa tu,Mungu wetu sote, ngoja nisubiri ndondokela za jf
Na usiache kumwomba Mungu kabisa muosha naniliu akupe mwanamke wa kufanana na wewe halafu kingine ule umapepe mapepe wako utulie si unajua uliharibu mpaka ndugu yangu akakimbia
 
Back
Top Bottom