Shetani dah ana minguvu[emoji124] [emoji124][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] basi nitakupa soda mtoto wa kiislam kwenye mambo ya kwichi kwichi ukiongea unakuwa sio mtoto wa kiislam eenh muosha naniliu
Hahhaha sasa najuaje mie jamani halafu babe ngoja niulize hili swali la msingi sana hivi sio bongo movie kweli nashusha ushauri wangu wa maana halafu kumbe hamkulani inakuwa bongo movie na huu utu uzima wangu mtakuwa mmenikosea sanaunajua huko,acha nikamwandalie shemeji yako chakula
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jana yenyewe tumekulana ndo maana tumechelewa kuamka kwa uchovu,now tunaishi pamoja jamanHahhaha sasa najuaje mie jamani halafu babe ngoja niulize hili swali la msingi sana hivi sio bongo movie kweli nashusha ushauri wangu wa maana halafu kumbe hamkulani inakuwa bongo movie na huu utu uzima wangu mtakuwa mmenikosea sana
Woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo nafurahi kusikia hivyo mie bongo movie tuwaachie wenye kazi yao ya uigizaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jana yenyewe tumekulana ndo maana tumechelewa kuamka kwa uchovu,now tunaishi pamoja jaman
Me tayar sijui Wewebado wewe tu
Shukrani sana mkuuMwifwa my bro,hongera sana kwa kupata chombo cha uhakika.
Nakupongeza sana!
Nadhani unatambua huyo mtoto almanusura awe wangu dah! Nikajichanganya! Kuwa makini usijichanganye maana neno msamaha huo msamiati hujui!
All the best ngoja niagize wine!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuww nakuwaza wewe tu nilivyoona hii thread jamani vipi lakini uko poa usije ukawa unajiandaa kujinyonga
Shemdarling hongereni jamani kujitoa muhanga na kushusha thread sio jambo la mchezo huo ni zaidi ya uwanaumeKhaaaaaaa
Naombeni na mm nikuje niwe kifesi wenu tu niwatwange maphotoBabe lunch time hii, twende hoteli gani?