The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Hahhaha sasa najuaje mie jamani halafu babe ngoja niulize hili swali la msingi sana hivi sio bongo movie kweli nashusha ushauri wangu wa maana halafu kumbe hamkulani inakuwa bongo movie na huu utu uzima wangu mtakuwa mmenikosea sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jana yenyewe tumekulana ndo maana tumechelewa kuamka kwa uchovu,now tunaishi pamoja jaman
 
Back
Top Bottom