The Only One My Love moneytalk

Aiseeee.

Haya mdogo kila la kheri na karibu kwenye ulimwengu wa Mahaba. Koh koh.

CC Davet na ukhuty

Mapenzi ni ngao kaa ufikiri
Kwa wapendanao hukaa wawili
Fanya chuki nao, wala hawajali
Hupeana vyeo wenyewe kwa siri
Kama huyajui uliza wenzio

Hajar nimekumbuka beti chache hizi kutoka katika wimbo wa taarab asilia wa Club ya Culture kutoka masiwani Unguja, basi umfikishie ndugu yako Mwifwa na wifi yako ingawa hamkutualika pilau ya shughuli Hajar
 
Kwa hiyo mpenzi unataka usema maneno nnayo kupaga hayafikii ya Mwifwa
Au na wewe unataka nifungue siredi.

Nilikuwa kwa Mwifwa tuna andaa shughuli ya leo narudi sasa hivi mama watoto
No baby, ila hii mistari ya Mwifwa ni kiboko sana au wewe hujaona alivyoipangilia?

Yaani nimejikuta nasoma huku natikisa kichwa kwa madaha utadhani ndio muhusika mkuu [emoji28], ila nilikuwa najaribu kuyasoma huku navuta picha yako juu ya maneno yale unayoniambiaga.
 
Hahaaaa. Usijali Sesten.

Naufikisha kama ulivyoutuma pasi kuongeza wala kupunguza neno kwa kweli.

Mwifwa na moneytalk maneno ya busara haya kutoka Visiwani.
 
Hebu iwekeni hadharani basi hiyo mistari mnayopeana faragha na madomo zege wajifunzage humohumo
 
Baby umenipa was was umeyapamba mno maneno ya Mwifwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…