SawaNafurahi kusikia hivyo
Sawa dadangu, kiboko yake Asprin!Mimi huyu ninae mpaka tugawane pensheni, ndoa ya Roma ni mpaka kifo kitutenganishe
Mwaka huu umekuwa zaidi jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jirani bana
Mbona nishakua siku nyingi..
Ni kweli kabisaaa, lakini babu Asprin ndo vile tenaHahahahaaaa.
Nimeambiwa michepuko inajituma sana maana muda wanaoupata ni mdogo kwa hiyo wanautendea haki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwifwa hadi kafungua uzi aaaah!
Jamaa kweli amedhamiriaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee
Aiseeee
Aiseeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema mkuu, za kitambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nawasalim wazee wenzang
HahahaNashukuru kwa kulitambua hilo jirani.
Salama mkuu nmepotea poteaKwema mkuu, za kitambo?
Tupo salama mkuu mambo ni fire na Mwifwa kapata demuSalama mkuu nmepotea potea
Huku jukwan kias aiseee
Mko salama kweli
Naona mambo n moto tu
Huku
Haa haa ha yan kweli fireTupo salama mkuu mambo ni fire na Mwifwa kapata demu
Acha tu mkuu mapenzi yana nguvu kuliko breackdownHaa haa ha yan kweli fire
Mpaka kaamua kudhihirishia
Uma kuwa kapata mke
Mahaba yameshika kas
Nakusalimu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nawasalim wazee wenzang
Aaah captain heshimaNakusalimu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chanzo cha Titanic kuzama kilikuwa nini....