kadri siku zinavyozidi kwenda nazidi kumpenda jamanMambo hayo [emoji7]
nakupenda sana mwifwa wanguUpendo haununuliwi dukani, wala haupimwi na mizani.
Upendo upo moyoni, ninakupenda kutoka moyoni
hellowHi shem
Japo cjatambulishwa
Pendaneni tuu dia, Mungu ni mwema.kadri siku zinavyozidi kwenda nazidi kumpenda jaman
Sahau kuchelewa bali palilia hapo ulipo hongerani sana [emoji131][emoji131]Najilaumu sana kwanini nilichelewa kukupata kipenzi changu
Kaza mwendo endelea kufurahia penzi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ahsante sana kwa ushauri wako
Shikilia baba penzi ni tamu ukimpata mnae pendana na kulandana [emoji131][emoji131][emoji131]Penzi ni tamu ngoja nishikilie hapa hapa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] muwe na usiku mwemaHapo sina la kuongezea
Amen kubwaNa wewe pia