Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Pale wivu unapozidiBaby umenipa was was umeyapamba mno maneno ya Mwifwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale wivu unapozidiBaby umenipa was was umeyapamba mno maneno ya Mwifwa
Na wewe hadi umepata nafasi ya kucheka kweli mambo safiNgoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseeeeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Katika msimu wa Pepo za Kusi na Kaskazi
Hahahaaa. Na ukiangalia huku pembeni kazungukwa na Dada zake Wapwani basi lazima awe mzuri katika huo upande.Yani toka Mwifwa ahamie kanda ya kati amejifunzaaa mahabaaaa nimemuambukizaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]atakuja tu kusema ukweli wakeeee
AaahKaribu mkuu.
Wapi carba sijamtia machoni siku kadhaa zimepita
NakusaidiaNgoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dada njooo chemba freeeee tu tafadhaliiiKhaaaa
Halafu wewe nina la moyoni
maneno matam kwelikweli hayo mkuu. Kula like wakati nikizidi kuyatafakariView attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
Hahah!!! Umetisha sana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Kweli ujue.Nahisi atakua na jambo na mimi sio bure..
Shem nilikupa salamu hukuzifikisha kwanini?Aiseeh [emoji848] mbona hivyo lakini shemeji yangu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweee mwee mweeh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni aandike tu anayoongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nipo hapa mbona habar hatuna lkn dada