The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Nikawaida kweli lakini sasa Mwifwa ilikua kama masihara ata alivyonitambulisha ilikua kiutani utani hivi sasa ndio nimeamini.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cheko ya kihutuu naijua lakini kukutana kihutu mhhhh! Nipe darasa kwanza kabla sijakurupuka.
Ahhahahaha hiiiiiii ukimaliza kucheka kihutu tukutane uhamiaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji6][emoji51]
 
Hongera Mkuu mie nasubiri mwaliko wa kuja kula pilau la nguvu lenye nyama tele, viazi, zabibu, mdalasini, bizari nyembamba na mazagazaga mengine bila kusahau kachumbari ya nguvu kisha kutililia suti na dancing shoes na kujirusha usiku kucha huku tukiwapongeza. Nitaleta na debe zangu ili tujirushe vizuri.
Shukrani sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom