Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
HahahahaNataka siredi yenu jamani,ya icebright
Ngoja niwe mzuri kwenye kuandika itakuja bonge ya siredi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaNataka siredi yenu jamani,ya icebright
Akicheka kisukuma uniiteunacheka kihutu eeh...safi kabisa bado na kitutsi [emoji1][emoji1]
Hongera rafiki yangu, ila hiyo mistari kiboko [emoji119]Jamani Neybright...
Dada angu habari za uzima?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
Kama mie ujue, hadi nikakumbuka lile blanketi rafiki kumbe halikuwa la maandishi kumbe la ukweli banaaaa.
Aiseeeee toka juzi sijapumzikaaaa ingekuwa steemit ninge download madoraliiiiMi hadi kichwa kinauma
Anaenda slowly but sureMwifwa bado upo page ya 5 khaaaaaa usije kusema hujaona comment yangu ukanuna bure nipo bega kwa bega kumsubiria Wiifi aje hapaaa asije kusema asanteee Kaka
Ewaaaa! Si ndio hapoAsiyekuwa na wivu hana mapenzi
Shukrani sana mkuu Sesten Zakazaka.Mapenzi ni ngao kaa ufikiri
Kwa wapendanao hukaa wawili
Fanya chuki nao, wala hawajali
Hupeana vyeo wenyewe kwa siri
Kama huyajui uliza wenzio
Hajar nimekumbuka beti chache hizi kutoka katika wimbo wa taarab asilia wa Club ya Culture kutoka masiwani Unguja, basi umfikishie ndugu yako Mwifwa na wifi yako ingawa hamkutualika pilau ya shughuli Hajar
Loooh unataka nijitekeeeee eeewhunacheka kihutu eeh...safi kabisa bado na kitutsi [emoji1][emoji1]
Wifi anajua kuishi na ndugu wa mumeMpenzi nashukuru unaishi na ndugu zangu vizuri sana.
Najua kwa kukaribishana kule salam ilikuwa haina pa kuingilia
Sawa ngoja tuwe wavumilivu.Kufungua siredi
Hahaaaa. Bado hajapita.[emoji23][emoji23][emoji23].. vipi bado wewe hajapita mitaa yako?
NakaziaAsiyekuwa na wivu hana mapenzi
Heheheheee [emoji850][emoji40]Kwani kina carbamazepine wako wangapi? Mie namjua mmoja tu.
Bak nina shida na wewe chembaaa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Tena na moto wa kuni huku napulizia LoL!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]No baby, ila hii mistari ya Mwifwa ni kiboko sana au wewe hujaona alivyoipangilia?
Yaani nimejikuta nasoma huku natikisa kichwa kwa madaha utadhani ndio muhusika mkuu [emoji28], ila nilikuwa najaribu kuyasoma huku navuta picha yako juu ya maneno yale unayoniambiaga.
Pole babe wangu[emoji124][emoji124][emoji124]....chafyaaa[emoji79]
Salama kabisa Mdogo. Habari ya Weekend?Dada angu habari za uzima?
Niko poaNmeona Sakayo,vp umzima