The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Mwifwa bado upo page ya 5 khaaaaaa usije kusema hujaona comment yangu ukanuna bure nipo bega kwa bega kumsubiria Wiifi aje hapaaa asije kusema asanteee Kaka
Nimeshaona neno lako tangu page ya 11 kulingana na setting za kimeo changu
 
Kweli ujue nilimuangalia Shunie nikaona kijasho chembamba kina mtoka. Nikaoana na wewe uko worried
I realy like meli yao, nikasema ngoja tufanye bidii ing'oe nanga nayo
Hata hivo jamaa alikuwa ni muelewa sana akaja.
Shunie hatakiwi kunchukulia poa ujue [emoji2]
Aiseee
Kwanza nakushukuru kwa kulibeba kwa uzito wake babe kaka!!

Mimi nilianza kupata wasiwasi baada ya kimya kutawala!! Lakini sikutaka kuonyesha ili Shunie asiumie!!

Na hata alivyokuja sikuona kama alikuwa tayari, ile haikuwa reaction ya mapenzi aki!! Kumbe ulienda kumbeba eeeh
 
Back
Top Bottom