Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Asante my babe brotherAnhaaa sawa bas mylove
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante my babe brotherAnhaaa sawa bas mylove
Okey
Jamani haya maneno ni mazito sana ngoja niyascreeshot alafu niyaweke tu wallpaper....Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
[emoji23][emoji23]hahaha
HalleluyahOohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
KakaThread of the day as approved by yours truly BAK
🙂🙂
Yaaaani hii timu ikihamia kule nna uhakika wa kujengaDemiss
Jolie
Hazard
Mumu
Mwifwa
Mr miller
Davet
Sakayo
Ukhuty
Uwiiii lazima tuwe matajiri
HahahaUsiniambie mdogo wangu ndo alikushika mkonooo!!!
Aibu pia shemDaaah
Sio kwa woga huo jamanii
Sawa, Mkuu!Vumilia tu ipo siku...