Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mume wanguJapo jina la jalada huakisi kilichomo ila sio yote huakisi
AmeeenHii reli ilikuwa imerefuka sana , nikaifuatuilia hadi hapa ndio nimeona nilichokuwa nakifuatilia.
Ahsante sana my kipenzi moneytalk, upendo wangu kwako upo moyoni tu na hauwezi kuhamia sehemu nyingine maana ulipo ndio mahala pake,.
Kila sekunde, dakika, saa, siku huwa naiona ni tofauti na iliyopita nikiwa na wewe, kwa mapenzi unayonipa najiona kama naimiliki Dunia yote.
Nakupenda sana kipenzi changu moneytalk
Nilikuona siku ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem usicheke mambo ya uzi sio poa
Tanzania hii tuna waigizaji wengi sana aisee si kina Wema tu .......hongereni kwa scene nzuri kwa wapenzi wenusina neno lingine zaidi yanakupenda baba watoto wangu,matendo yangu yatakuwa yakukupendeza zaidi kuliko maneno
[emoji20] [emoji20] [emoji20]Tutakujuza next week wee kuwa mpole tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aisee..sawa " ukiwa unataka kumpatia hzo taarifa andaa na ambulance kabisa...iwe imepack pembeni "
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huvutia kwakeHongera dia mistari ya bwana shemeji ipo mahali pake, ila kama inafanana na ya mpenzi wangu tatizo wangu haandiki bali huzungumza [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwamba ngozi -------
loooh jaribu kumwambia uone ""[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unataka usema Carba atashindwa ku handle mpaka afike rehab?
Ila weweHahaha!! Alikua anaitama my my na kila mdada, sasa naona kavunja ukimya
waambie baby wanguHakuna aliyeninyang'anya au kuiba nywila za simu simu yangu pamoja na ya JF
AmeeenHalleluyah
Halleluyah
Halleluyah
hahahaa kama kawaida yakoJamani haya maneno ni mazito sana ngoja niyascreeshot alafu niyaweke tu wallpaper....
Shemu umetisha sana [emoji23]
Shem nivumilie tu kwakweli... [emoji16][emoji16]Ila wewe
Ndio naenda kiyatoa yale ya mwifwa nawaweka haya maana yana uzito sanahahahaa kama kawaida yako