The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Hii reli ilikuwa imerefuka sana , nikaifuatuilia hadi hapa ndio nimeona nilichokuwa nakifuatilia.

Ahsante sana my kipenzi moneytalk, upendo wangu kwako upo moyoni tu na hauwezi kuhamia sehemu nyingine maana ulipo ndio mahala pake,.

Kila sekunde, dakika, saa, siku huwa naiona ni tofauti na iliyopita nikiwa na wewe, kwa mapenzi unayonipa najiona kama naimiliki Dunia yote.
Nakupenda sana kipenzi changu moneytalk
Ameeen
 
sina neno lingine zaidi yanakupenda baba watoto wangu,matendo yangu yatakuwa yakukupendeza zaidi kuliko maneno
Tanzania hii tuna waigizaji wengi sana aisee si kina Wema tu .......hongereni kwa scene nzuri kwa wapenzi wenu
 
Back
Top Bottom