Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Woyoooooooooo mama kama nakuona miehoney
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyoooooooooo mama kama nakuona miehoney
Sio utajaribu uache kabisa sasa hayo maneno yako ndio yanakuponzaNitajaribu shunie! Halafu Mimi maneno tyu huwa sio mlaji[emoji23] [emoji23]
salama kabisa,uchovu tuMmeamkaje lakini?
Shem niunganishe na yule rafiki yako ambae ana chura please![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
zimenifikiaMimi niko poa ndugu, msalimie shem
Asante unajua wewe ulifaa uwe nesi au mshauri mtaalamu,maneno yako yameniimarishaSio utajaribu uache kabisa sasa hayo maneno yako ndio yanakuponza
tatizo moja wewe unachagua sana churaMwifwa yale mateso uliyokuwa unayapata ya kushindwa kuacha kufikiria mapenzi naona yamepata mwarubaini sasa hivi!![emoji13][emoji13][emoji13].......rafiki mimi bado napata mateso ya kukosa chura JF!
[emoji23][emoji23][emoji23]salama kabisa,uchovu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio kwanza viluilui...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nasikia love moneytalk ana rafiki yake ambae chura ipo ngoja nijiongeze kwa shem wangu huyu huenda nami nikala mema ya JF braza!!
Shem mimi bila chura sina haja ya kuwa na mpenzi!....heri nikae tu single maisha yangu yote kuliko nikae na flat screen!!tatizo moja wewe unachagua sana chura
nilikuwa nasubiri baraka zako bebeWooooooooozeeeeeeeeer
Hahhaha eti nilifaa kuwa nesi au mshauri mtaalamu mm nakwambia ukweli lakini unauma jaribu kubadirika utaona sisi wanawake wengine hatupendi mambo za drama ukimletea mtu drama anakuacha tu ndio yaliyotokea kwako muosha naniliuAsante unajua wewe ulifaa uwe nesi au mshauri mtaalamu,maneno yako yameniimarisha
ntakuzabua weweJamani pole sana nikikumbuka ulivyokuwa unampenda ndugu yangu basi tena acha maisha mengine yaendelee tu utakuja mpata mwingine
Hivi maka akee pair yako iko apiiJf ni mwendo wa pair tuu..
Ukimpata mwenye chura na mmi nataka mwenye wowowooo[emoji12] [emoji12]Shem mimi bila chura sina haja ya kuwa na mpenzi!....heri nikae tu single maisha yangu yote kuliko nikae na flat screen!!
hivi kwanini hufungagi mdomo wako lakiniJamani pole sana nikikumbuka ulivyokuwa unampenda ndugu yangu basi tena acha maisha mengine yaendelee tu utakuja mpata mwingine
Mie sina shunie akee.Hivi maka akee pair yako iko apii
Ngoja niwe nice boy!Hahhaha eti nilifaa kuwa nesi au mshauri mtaalamu mm nakwambia ukweli lakini unauma jaribu kubadirika utaona sisi wanawake wengine hatupendi mambo za drama ukimletea mtu drama anakuacha tu ndio yaliyotokea kwako muosha naniliu