Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
rudia mafile yako ndiye mimi..... anti yenu ananifichaAiseee
Nani amekuficha hivyo aki!!!
Mie ni sakayo bwana, hilo ananiita mtu mmoja tuu aki kidogo niseme ndo weye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudia mafile yako ndiye mimi..... anti yenu ananifichaAiseee
Nani amekuficha hivyo aki!!!
Mie ni sakayo bwana, hilo ananiita mtu mmoja tuu aki kidogo niseme ndo weye
Jamanirudia mafile yako ndiye mimi..... anti yenu ananificha
litafute bhana... msalimie TJamani
Mbona sijaona bandikoo mimi jamani!!!
Huwezi weka bandiko la aunty nisilione aki?!!!litafute bhana... msalimie T
lipo pm wambie akuonyeshe... hayupo huku nilipo bhana labda kafichwa kwingineHuwezi weka bandiko la aunty nisilione aki?!!!
T najua uko nae huko, toka uondoke nae kaondoka
Hahahalipo pm wambie akuonyeshe... hayupo huku nilipo bhana labda kafichwa kwingine
Hongera mwanangu lakini mnisubiri namimi niwape baraka. Mpeleke kwa G. naye amwone au tayari?Mama mwanao kashajitosa hivyo.
Kweli. Sisi wazima joto kama kawa.Bado sasa ndio mwanzoni mwa mambo.
Mzima huko?
Sijambo mimiJirani nakusalimu
Siku hizi umekuwa eeehSizoomki hapa
HahahaNataka nione mapenzi ya dhati kwa mchepuko
Mimi huyu ninae mpaka tugawane pensheni, ndoa ya Roma ni mpaka kifo kitutenganisheHahaha
Asante bi mkubwa, mie bado mdogo sana! Naona ni wakati sasa wa kuwa na familia yangu