The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Aaah captain heshima
Yako mkuu [emoji119]
Aiseee mkuu nmesalimika
Kabsa

Captain umebeba jiko
Hata hunitaafu kuwa umetutoka
Chaman kwetu
Hahahahaaaaa.

Utakapoona ushindi ujue mwanachana kashavuka stage na kawaacha wengine bado wanahangaika kutusua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pailot na mhudumu wa ndege
Kujamiana katkat ya safar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio ajabu na sisi tunaotembea kwa miguu kwa safari zetu
 
Hahahahaaaaa.

Utakapoona ushindi ujue mwanachana kashavuka stage na kawaacha wengine bado wanahangaika kutusua
Haa haaa haa walaaaaah ngoja
Na mm niamke huu mwaka nije
Na uz wa Inna
 
Haa haaa haa walaaaaah ngoja
Na mm niamke huu mwaka nije
Na uz wa Inna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo rada yangu ilikuwa inasearch ila haikunasa maana alikata network kwa muda na kupotea hadi akarejea juzi na kukuta hali kama hii ishakamilika.

Jitahidi hapo hapo unase kitu chako
 
Davet kama nakuona unavyoangaliwa hapa kaa kando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Congrats to our new couple
31338741_240740520003877_9216031765947219968_n.jpg
 
Back
Top Bottom