Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Nipo poa kwakweli namshukuru Mungu, mefarijika umerudi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante maa
Mzima lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo poa kwakweli namshukuru Mungu, mefarijika umerudi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante maa
Mzima lakini?
HahahahaMe hata sijui nina nyota ya chipsi yai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiiii wote hawa nawapeleka kwa mshana siwezi achwa hivi mimi
Tuendelee kumtia moyoJamani carba pole meskia kulia mimi kwa yanayokukabili [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26],
God will make a way
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo anipe hongera??[emoji23][emoji23]
Nna moyo ujue??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmhh
Hata kumpima ile naniliu kwa kidole napo kagonga mwamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio hali ya kawaida ujue, sema mitihani tumeumbiwa binadamu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe kweli una mpa pole!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiiii mnajua kunichekesha wewe na ice
Ni kweli kabisa wanguTuendelee kumtia moyo
She z a gud girl
Atakuwa ana nyota ya Cheetah nyota ya kukimbiza watu.Sio hali ya kawaida ujue, sema mitihani tumeumbiwa binadamu.
Hii nyota ya carba itabidi isafishwe sio kwa mateso hayo anayopitia.
Ila Mekumithiii, vipi unaendeleaje lakini kipenzi changu?
Ndio maana unaona nahakikisha uslama wa Carba kila time. najua anahitaji kupewa uangalizi sanaNi kweli kabisa wangu
Ndiyo,kashindwaMmhh
Hata kumpima ile naniliu kwa kidole napo kagonga mwamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefurahi pia maaNipo poa kwakweli namshukuru Mungu, mefarijika umerudi jamani
Sio hali ya kawaida ujue, sema mitihani tumeumbiwa binadamu.
Hii nyota ya carba itabidi isafishwe sio kwa mateso hayo anayopitia.
Atakuwa ana nyota ya Cheetah nyota ya kukimbiza watu
Mhhhh nadhani itakuwa nyota ya mwewe,Atakuwa ana nyota ya Cheetah nyota ya kukimbiza watu.
Nimekumis baby, nimepamiss na nyumbani , am well.si unajua huku niliko mambo mengi.
Uko fine lakin?
Jitahidi tuu hakuna namnaNdio maana unaona nahakikisha uslama wa Carba kila time. najua anahitaji kupewa uangalizi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie.
Itakuwa nina nyota ya kunguru wa dar aiseh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nyie.
Itakuwa nina nyota ya kunguru wa dar aiseh!!
Hahahahaa! Hiyo ya mwewe nadhan iko inafaaMhhhh nadhani itakuwa nyota ya mwewe,
Jitahidi urudi baby, am scared staying alone. Wasalimie wote huko usisahau kuniletea zawadi.
Love you so much honey [emoji8].