The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Tim Choice

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
2,088
Reaction score
1,261
1600598243772.png
 
shugulika kwanza na hizi

i) Kibaha highway kutoka 2018 mpaka sahi 2020 bado haijakamilika
ii) sgr imekwama na mturuki amefilisika kazi yake sasa ni kurudia video za kitambo na ku upload kwenye youtube.
iii) Mwanza airport imekwama kutoka 2012 mpaka mchina akatoroka.

List ni kubwa, shida zenu ni kubwa kuliko nairobi expressway.
 
Hii ndiyo inaitwa bias confirmation. Umeenda twitter kutafuta watu wanne ama watatu ili ujifurahishe. Hii barabara ni ya kwanza ukanda huu wa afrika, na bado thika road hamujaweza kuvunja rekodi yake.

wewe kiroba kweli rafiki yangu,yaani tujenge barabara ili kuvunja rekodi ya kenya[emoji23][emoji23][emoji23],badala ya kuhitajika kwake!!!!huko shule mnajifunza kiingereza pekee aisee.
 
Kitu ndio hicho kimeanza kuchimbwa, mtakoma ubishi....muundo bora kuzidi yote Afrika mashariki na kati.
Na tutaanza kukitumia bado mkiwa kwenye ngonjera za SGR....



TZ SGR ni kitu premium wacha kuitaja pamoja na huu uchafu hapa.

endeleeni kuchimba kifusi hapo.
 
TZ SGR ni kitu premium wacha kuitaja pamoja na huu uchafu hapa.

endeleeni kuchimba kifusi hapo.
hiyo video hata comments zinefungwa[emoji28][emoji28]

unajua ni kwanini??endeleeni kuchimba kifusi.
sisi tuko BRT phase 3.[emoji23][emoji23]mtajua hamjui.
i) Tanzania sgr imekwama na mturuki amefilisika
ii) Nyinyi mko BRT phase 2 ambayo haijakamilika (km 20) na phase 1 (21 km) , ilhali sisi tuko kwa 200 km mass commuter rail. BRT itakuja baadaye kama support ya commuter rail.
 
TZ SGR ni kitu premium wacha kuitaja pamoja na huu uchafu hapa.

endeleeni kuchimba kifusi hapo.

Sijui miaka ngapi sasa imekua stori, mlituambia mwaka jana 2019 kale kasafu ka Dar-Moro katakua kakitumika, tunaelekea 2021 bado mnakachimba chimba, jameni Waswahili, sasa mnatumia nini kuombea kura maana sijaona chochote mumetimiza.
 
Back
Top Bottom