mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Lahaula!!!! Yani kutoka 2018 mpaka 2020 bado 19km haijaisha. Ilhali nairobi express way iliyoanza mwezi uliopita itakuwa tayari december 2022 itachukuwa mda kidogo kuliko hii kibaha na nairobi expressway inapaa juu kwa juu ikiwa na 8,6 na 4 lanes.
Tokea 2018 umeonea wapi hizo taarifa ndugu yangu, maana naona unatafuta uchochoro uhepe.