Tofauti yetu na nyie watu ipo kwenye katiba, haya maendeleo unayoyaona Kenya yanatekelezwa kwa mujibu wa katiba na muongozo wa dira ya 2030, kwamba rais yeyote akija lazima atekeleze kama ilivyo elekezwa kwenye dira. Na kampeni zake anaeleza kile amekifanikisha kwa kulinganisha na dira ya taifa.
Kwenu huko rais ndiye anachagua wapi barabara ijengwe, kampeni zake anazunguka akichimba mikwara kwa maeneo ya upinzani, akiwaambia wasipoichagua CCM wasisubiri awajengee chochote, ilhali hao hao wanalipa kodi.
Anawatishia hata kwa kilugha, nyie watu bado mko nyuma sana, na mtachelewa kwa kipindi kirefu kwa siasa zenu hizo...