The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Kweli watanzani mko na shida, ati only one in eac. Hujui Uganda walijenga hiyo kabla hata mjue kupika chips mayai.
Weka picha wacha maneno, afu mbn unatafuta usaidizi wa UG? Kweli Wakenya tumewashika pabaya yn hamna kitu mnacho cc hatuna ila cc tuna vingi tunavyo ninyi hamna [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alafu hii barabara ni ndogo sana, yani hata Outer ring road Nairobi inaishinda kwa ukubwa na urefu.
Unasemaje ww? Hv unadhani wanacholalamika Wakenya kwmb tumesha wa overtake unadhani wanatania? Barabara Tz co shida tena yn tuna barabara nyingi na quality mpk mitaani na zingine hatuzijui zikiwekwa hapa huwa tunashangaa.

Hebu angalia hii barabara mpya inayoingia kigamboni bridge iliisha watu wengi tukiwa hatuna taarifa, angalia jinsi ilivyo pana na quality [emoji116][emoji116]

Nakuonesha hapa modern infrastructure zipo Tz na ww jibu sawa? Mm naanza na hii, the modern and the only 3level interchange in E&CA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579194
You are celebrating your first three level interchange in 2020 when Kenya did theirs more than 10 years ago. To put matters straight, Nairobi expressway will have 4 3-level interchanges and Mombasa is also doing theirs, that will be Kenya 6 to Tanzania 1. Do you have anything to add?
097f44b4f48efc3d5da0cdf82e0115f3.jpg
tapatalk_1558467771905.png
 
Tuta tuta BRT yenyewe imekwama phase1 ya 21 km, mutawezana na commuter rail?
Heheheheheeee tupo phase 3 now goma linatoka city centre linapita Mfugale flyover pale Tazara linapita mpk Airport linaenda Gongo la Mboto najua unanielewa nnapotaja hyo miji cz Wakenya mnaijua Dar kuliko cc tunavyoijua Nairobi.
 
Ok kumbe unaongelea 1960s, pole sana mm naongelea 21st century bro cz huo mwaka Nyerere anasema hvyo super power duniani ilikuwa UK cjui unalifaham hilo?
Hata sahi Nairobi imejulikana kuwa ni global city in africa. Dar hakuna mtu hata huzungumza kuihusu. Global cities katika afrika ni

i) Cairo na casablanca (north africa)
ii) Lagos west Africa
iii) Nairobi (east africa)
iv) Joburg (south africa)

Dar siyo global city kwa sababu haina miundo mbinu ya kutosha, biashara ni kidogo mno na watu hawana elimu inayotajika duniani.
 
You are celebrating your first three level interchange in 2020 when Kenya did theirs more than 10 years ago. To put matters straight, Nairobi expressway will have 4 3-level interchanges and Mombasa is also doing theirs, that will be Kenya 6 to Tanzania 1. Do you have anything to add?
View attachment 1579214View attachment 1579215
Wakati ww unaongelea future tense mm naongelea present tense and that is the difference.
 
Heheheheheeee tupo phase 3 now goma linatoka city centre linapita Mfugale flyover pale Tazara linapita mpk Airport linaenda Gongo la Mboto najua unanielewa nnapotaja hyo miji cz Wakenya mnaijua Dar kuliko cc tunavyoijua Nairobi.

BRT ya Tanzania iko na 1 line ya 21 km, phase 2 (19 km) ilikuwa ianze mwaka jana GOT ikawa haina pesa ya kutosha ingawa AFDB ilitoa mkopo ya 80% ya hiyo project ($141 million) hiyo ingine mpaka sahi GOT inajaribu kubambanya huku na huku.
 
Hata sahi Nairobi imejulikana kuwa ni global city in africa. Dar hakuna mtu hata huzungumza kuihusu. Global cities katika afrika ni

i) Cairo na casablanca (north africa)
ii) Lagos west Africa
iii) Nairobi (east africa)
iv) Joburg (south africa)

Dar siyo global city kwa sababu haina miundo mbinu ya kutosha, biashara ni kidogo mno na watu hawana elimu inayotajika duniani.
Global city kwa mlengo upi hebu weka link km hujaumbuka hapa, mm naongelea developed city we unaongea upupu hapa.
 
Naona ushaanza kuchange gear, hizo picha nimekuonyesha ni part ya 3-level interchange in Pangani. Hata kama ni kuchanganyikiwa usichanyikiwe sana.
Iko wapi hyo 3level hebu weka hapa tuione unaficha ficha nn mbn mm nimeweka hadharani [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom