The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Kwa uwakala tu na ubabaishaji mnatuzd ila co level of development as a whole sahau.
Are you still there? Ama umekimbia? Show me something like this outside Dar
C-LSYS3XYAAOLxV.jpg
Dwsy0AmWoAAgnox.jpg
 
Mombasa imeshinda Dar, Nairobi ndiyo mtawezana nayo
i) Mombasa port ni kubwa kuliko zote za Tanzania
ii) Mombasa iko na sgr inayofanya kazi, dar yake imekwama.
iii) Barabara za mombasa ni mzuri kushinda za dar. (Mjapani amewekeza pesa kama siafu kwa barabara za mombasa)
iv) Mombasa wana jenga special economic zone kubwa kabisa ukanda huu wa afrika tena kwa kasi (Mjapani hana mchezo)
v) Mombasa itajenga Commuter rail ya Nairobi ikiisha, hapa dar bado watakuwa wanasumbuka bado na phase 2 ya BRT
 
Heheheheheeee yn vitu mpk ulazimishe mbn cc tunaweka vitu ambavyo vinaji define vyenyewe hebu tazama 3level hii clear kabisa inaonekana[emoji116][emoji116]View attachment 1579281
Kwani za Pangani nd`o hazionekani? Ama lazima ifanane na yenu ndio ikaitwe 3 level interchange? Wewe rudi shule ulikosomea urudishiwe school fees cause you didn`t learn anything there.
 
Tanzania ya sasa bhn noma sana aloo, this is Dodoma bus terminal which is far better than Nairobi terminus [emoji116][emoji116]

View attachment 1579283
Hawa wakenya wenye midomo mirefu leo umewachapa mnoo wamebakiwa na ubishi wa kishamba,

Maneno mengi kwa ground hakuna kitu,

Umewaitisha three level wanakuletea sehemu za kuvukia watu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeshakuambia hakuna infrastructure ipo kenya Tanzania hakuna ila kuna infrastructure zipo Tz kenya hamna ss unataka tulinganishe nn hapo.

i) Mko na 12 lane highway ya 40 km? Hapana, ndiyo bado mnasumbuka na 8 lane ya 19 km
ii) Mko na grade A offices? Hapana bado mko na vibanda vya kuku mnaita ofisi.
iii) Mko na elevated highway ata mnafikiria kujenga? Hapana hii ni vision 2050 kwa GOT
iv) Mko na commuter rail? Hapana

List ni refu.
 
i) Mko na 12 lane highway ya 40 km? Hapana, ndiyo bado mnasumbuka na 8 lane ya 19 km
ii) Mko na grade A offices? Hapana bado mko na vibanda vya kuku mnaita ofisi.
iii) Mko na elevated highway ata mnafikiria kujenga? Hapana hii ni vision 2050 kwa GOT
iv) Mko na commuter rail? Hapana

List ni refu.
Acha kuwasumbua na maswali, kama interchange ndio wako nazo mbili pekee in the entire country sasa elevated Highway ndio watakuwa nayo?
 
Back
Top Bottom