The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Where is that 3level?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwenye macho haambiwi ona, mwenye maskio haambiwi skiza. Umejaza ujinga ya kitanzania hata ukipewa picha ya three level interchange huwezi ona!
Hivi kweli unajua three level interchange ni nini kweli?
 
Iko wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hujatazama video niliyokupa jinsi kazi ianpigwa kwa kasi? Tena kwa pesa za kibinafsi sio GOK,. Hii haiwezi kwama kama hiyo sgr, mwanza airport, BRT phase 2, Rufiji dam etc. Hii ni mchina na kazi usiku na mchana.

Mchina si estim, hawa hawana mchezo kwa kazi.
 
Nimekuuliza iko wapi unaanza maneno au ndo ile mkopo wa mchina utakaowatafuna kwa miaka 27?
 
Kenya hamjawahi kufanya mradi kwa pesa za ndani mnatia aibu sn wanasiasa wanakusanya pesa wanapeleka ulaya kwenye accnt zao nyie wanakuachieni madeni daahh inauma sana.
 
Kuna mmoja Kaandika Stendi ya mabasi kama ile ya Dodoma huwa zinajengwa hadi mandera,

Nimemuitisha ailete naona anajifanya hajaona comment yangu [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani ni maneno mengi halafu kwa ground hakuna kitu.
 
Wanaijua vizuri ile na ilileta mtikisiko kenya nzima, yn imefika kipindi Tz tukizindua mradi Wakenya wanatukana serikali yao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii hufanyika dunia mzima, kukiwa na land slide.
i) Hii hapa chini kwa picha ikifanyika Norway hizi ni vitu mtu hauezi zuia.
ii) Hata mwaka jana barabara ya kutoka mai mahiu kuelekea Narok ilikatika ka kuacha shimo kwa sababu rift valley ilianza kusonga tena. sahi imerekebishwa. Hata hiyo redhill link road itarekebishwa.
iii) Japan wameishi wakirekebisha barabara zao baada ya kila earthquake au tsunami.

Punguza udaku na uvumi, hii ni nature na haiwezi zuia, ni kukubali na kurekebisha.

View attachment 1579300

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]bro ni landslide au ni maji ya bomba yamelowanisha kuta za barabara zikashuka[emoji13][emoji13][emoji13]

hili nalo unakaza bro[emoji1787][emoji1787]kweli uzalendo ni kazi ngumu.angalia hii picha umeleta na kile kimefanyika kenya kama zinafananaView attachment 1579340
View attachment 1579341

hapa kenya utaona kabisa ardhi ambayo ndio nguzo imebaki,ila coat iliyowekwa kitapeli imeshuka peke yake,tofauti na huko yukoshima japan,ardhi imekatika na barabara yake.
 
Landslide nyingine hz hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

tapatalk_1592763038212.jpeg
tapatalk_1588514903729.jpeg
 
Tunachocheka hapa ni hii mifereji ilimaliza dollar mill ngp vilee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579315
Afdhali hiyo unaona ni udongo kidogo imeingia kutokana na mmomonyoko wa udongo na mvua.

Yenyu hapo kati kati ya jiji ni kinyesi na plastiki, mpaka nyasi inamea ndani usifikirie hatujui dar. Kati kati ya jiji, unapata maganda ya mananasi iliyooza, vibanda chini ya hapo pspf towers.
 
Weka picha wacha maneno, angalia roads zenu vile zinakaa bila ya make up [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1591039024611.jpeg
tapatalk_1591039020676.jpeg
tapatalk_1591039029453.jpeg
 
Back
Top Bottom