The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ndo tunaanza now kuandika upya kunako mitandao tuondoe huu uongo waliojaza Wakenya kunako mitandaoni angalia uongo km huu Wakenya wameandika na ku publish is totally laughable [emoji116][emoji116]Kwani ni lazima iandikwe
I don`t discuss with low IQ fellows, define three-level interchange alafu urudi tuongee.Leta iyo 3 levels Buda, unazunguka mbuyu.
[emoji116][emoji116][emoji116]I don`t discuss with low IQ fellows, define three-level interchange alafu urudi tuongee.
Huu ujinga wako hata maombi haiezitoa. Do you really understand the meaning of definition? I have not asked you for pictures, Ihave told you to define 3 level interchange in words.
Huu ujinga wako hata maombi haiezitoa. Do you really understand the meaning of definition? I have not asked you for pictures, Ihave told you to define 3 level interchange in words.
Heheheheheeee we kunguni kweli ww yn tng enzi za JK mpk leo tubaki pale pale, kwa taarifa yako tumetandaza lami Tz nzima yn hakuna nchi EA ya kushindana na Tz kwenye sekta ya barabara, km unavyoona kwenye umeme tunaongoza na paved roads ni hvyo hvyo ngj mabwana zenu wa update taarifa km hujalia humu yn tumewaacha mbali mno kwenye sekta ya paved roads mama.You can`t argue with facts you fool. Kenya`s total tarmacked roads are 21,000km while Tanzania is still at 12,000km.
Sijui shule ulienda kufanya nn, kwahyo definition ni mpk mtu aandike au co, ikiwekwa kwenye mchoro co defn, wallahi una kazi kubwa kuendana 21st century.Huu ujinga wako hata maombi haiezitoa. Do you really understand the meaning of definition? I have not asked you for pictures, Ihave told you to define 3 level interchange in words.
Najua masomo ni magumu kwako lakini jaribu,soma uelewe Nakuru iko pahali penye fault lines mingi na rift valley husonga wakati inataka. Hii hakuna mtu duniani anaweza kuzuia.Landslide nyingine hz hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579353View attachment 1579357
HAHAHAHA, Wakenya tumengoja tu umalize kukojoa ujinga yote ya kisukuma kwa uzi, halafu turudi tuendelee na mawazo ya watu wazima.Naona wamekimbia uzi ok baadae jamani byee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pictures always mean that you can`t express yourself in words. And the common term which usually come with that is stupidity. Nowonder your IQ is low.Sijui shule ulienda kufanya nn, kwahyo definition ni mpk mtu aandike au co, ikiwekwa kwenye mchoro co defn, wallahi una kazi kubwa kuendana 21st century.
These are signs of defeat. Umshindwa kupost maendeleo mko nazo Tanzania sasa kazi yako ni kulilia tu.Kenya chafu sn jamani inakaa Somalia [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1579401View attachment 1579402View attachment 1579403View attachment 1579404View attachment 1579406View attachment 1579408
Hii barabara huwa inawauma sana. Niliwaabia kuwa wakijenga 200m Kenya itajenga 100 times of what they have done.
Duh ituume barabara ya mkopo wkt cc tuna miradi ya gharama tunafanya tena pesa ya ndani tofauti na nyie wazee wa mkopo.Hii barabara huwa inawauma sana. Niliwaabia kuwa wakijenga 200m Kenya itajenga 100 times of what they have done.
Mradi gani mnafanya na pesa za ndani? Kama choo enyewe hamna uwezo wa kujenga, sasa ni mradi gani ya maana mtafanya na pesa za ndani?Duh ituume barabara ya mkopo wkt cc tuna miradi ya gharama tunafanya tena pesa ya ndani tofauti na nyie wazee wa mkopo.
Ubungo interchange mlitupa nyie pesa? Naanza na huo tu kwanza ukikubali nije na mingine.M
Mradi gani mnafanya na pesa za ndani? Kama choo enyewe hamna uwezo wa kujenga, sasa ni mradi gani ya maana mtafanya na pesa za ndani?