The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Kwani ni lazima iandikwe
Ndo tunaanza now kuandika upya kunako mitandao tuondoe huu uongo waliojaza Wakenya kunako mitandaoni angalia uongo km huu Wakenya wameandika na ku publish is totally laughable [emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-09-18-12-36-02.jpeg
 
You can`t argue with facts you fool. Kenya`s total tarmacked roads are 21,000km while Tanzania is still at 12,000km.
Heheheheheeee we kunguni kweli ww yn tng enzi za JK mpk leo tubaki pale pale, kwa taarifa yako tumetandaza lami Tz nzima yn hakuna nchi EA ya kushindana na Tz kwenye sekta ya barabara, km unavyoona kwenye umeme tunaongoza na paved roads ni hvyo hvyo ngj mabwana zenu wa update taarifa km hujalia humu yn tumewaacha mbali mno kwenye sekta ya paved roads mama.
 
Huu ujinga wako hata maombi haiezitoa. Do you really understand the meaning of definition? I have not asked you for pictures, Ihave told you to define 3 level interchange in words.
Sijui shule ulienda kufanya nn, kwahyo definition ni mpk mtu aandike au co, ikiwekwa kwenye mchoro co defn, wallahi una kazi kubwa kuendana 21st century.
 
Naona wamekimbia uzi ok baadae jamani byee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona wamekimbia uzi ok baadae jamani byee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HAHAHAHA, Wakenya tumengoja tu umalize kukojoa ujinga yote ya kisukuma kwa uzi, halafu turudi tuendelee na mawazo ya watu wazima.
Mungu arehemu roho yako.

NB: Ni maombi na bidii, si uchawi na udaku, ndiyo sababu tunawashinda!
 
Sijui shule ulienda kufanya nn, kwahyo definition ni mpk mtu aandike au co, ikiwekwa kwenye mchoro co defn, wallahi una kazi kubwa kuendana 21st century.
Pictures always mean that you can`t express yourself in words. And the common term which usually come with that is stupidity. Nowonder your IQ is low.
 
Hii barabara huwa inawauma sana. Niliwaabia kuwa wakijenga 200m Kenya itajenga 100 times of what they have done.
Duh ituume barabara ya mkopo wkt cc tuna miradi ya gharama tunafanya tena pesa ya ndani tofauti na nyie wazee wa mkopo.
 
M
Duh ituume barabara ya mkopo wkt cc tuna miradi ya gharama tunafanya tena pesa ya ndani tofauti na nyie wazee wa mkopo.
Mradi gani mnafanya na pesa za ndani? Kama choo enyewe hamna uwezo wa kujenga, sasa ni mradi gani ya maana mtafanya na pesa za ndani?
 
M

Mradi gani mnafanya na pesa za ndani? Kama choo enyewe hamna uwezo wa kujenga, sasa ni mradi gani ya maana mtafanya na pesa za ndani?
Ubungo interchange mlitupa nyie pesa? Naanza na huo tu kwanza ukikubali nije na mingine.
 
Nyie subirini tukamilishe JNHP kwa pesa zetu tuanze kuwaletea umeme muondokane na stupid blackouts.
 
Back
Top Bottom