The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Sijui miaka ngapi sasa imekua stori, mlituambia mwaka jana 2019 kale kasafu ka Dar-Moro katakua kakitumika, tunaelekea 2021 bado mnakachimba chimba, jameni Waswahili, sasa mnatumia nini kuombea kura maana sijaona chochote mumetimiza.
Mturuki amebaki tu ku upload video za zamani akirudia kwenye channel yao ya youtube.
 
Sijui miaka ngapi sasa imekua stori, mlituambia mwaka jana 2019 kale kasafu ka Dar-Moro katakua kakitumika, tunaelekea 2021 bado mnakachimba chimba, jameni Waswahili, sasa mnatumia nini kuombea kura maana sijaona chochote mumetimiza.

kwani hizi huko kenya ni kwa ajiri ya uhuru kuombea kura??
 
i) Tanzania sgr imekwama na mturuki amefilisika
ii) Nyinyi mko BRT phase 2 ambayo haijakamilika (km 20) na phase 1 (21 km) , ilhali sisi tuko kwa 200 km mass commuter rail. BRT itakuja baadaye kama support ya commuter rail.

kaa cbd hapo ukisubiri express highway,siku unakuja kushtuka utajua hujui.
 
kwani hizi huko kenya ni kwa ajiri ya uhuru kuombea kura??

Tofauti yetu na nyie watu ipo kwenye katiba, haya maendeleo unayoyaona Kenya yanatekelezwa kwa mujibu wa katiba na muongozo wa dira ya 2030, kwamba rais yeyote akija lazima atekeleze kama ilivyo elekezwa kwenye dira. Na kampeni zake anaeleza kile amekifanikisha kwa kulinganisha na dira ya taifa.

Kwenu huko rais ndiye anachagua wapi barabara ijengwe, kampeni zake anazunguka akichimba mikwara kwa maeneo ya upinzani, akiwaambia wasipoichagua CCM wasisubiri awajengee chochote, ilhali hao hao wanalipa kodi.

Anawatishia hata kwa kilugha, nyie watu bado mko nyuma sana, na mtachelewa kwa kipindi kirefu kwa siasa zenu hizo...
 

Na ndio maana unaona miaka 5 kazi kubwa imefanyika kuliko miaka yote 45 iliyopita. Raha ya katiba yetu ni kwamba inahitaji rais mzalendo tu kila kitu kiko mikononi mwake,sasa hiyo yenu inaruhusu kila mtu kuwa na ndevu.ndio maana watu wananyang'anyana fito tu 24 hrs,uhuru anaenda kukopa makamu analia kwanini akope!!!

Anyaway mmeamua wenyewe kufuga mbuzi wa mbao,hatuna la kuwashauri.
 

Kazi yenyewe ipi hatujaona hata kimoja kinachotumika, SGR imewashinda.
 
imetushinda,kwa makusudi kabisa unaamua kuiponya roho yako kwa kuukataa ukweli.

baki hivyo.

Onyesheni matokeo, utahangaika huku kwenye mitandao ukijibizana na kila mtu ilmradi ulipwe hapo Lumumba ila hautabadilisha ukweli.
Kasafu kadogo sana Dar-Moro mpaka leo ni stori tu.
 
unawashwa wewe.eti maendeleo mna maendeleo ya kuisumbua tz nyinyi safari hii???kitu mmebakiza ni gdp tu ambayo nayo tuko nayo maabara.
Labda mpike takwimu mtupiku Kaka 😁
 
Lahaula!!!! Yani kutoka 2018 mpaka 2020 bado 19km haijaisha. Ilhali nairobi express way iliyoanza mwezi uliopita itakuwa tayari december 2022 itachukuwa mda kidogo kuliko hii kibaha na nairobi expressway inapaa juu kwa juu ikiwa na 8,6 na 4 lanes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…