Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Mwenye macho haambiwi ona, mwenye maskio haambiwi skiza. Umejaza ujinga ya kitanzania hata ukipewa picha ya three level interchange huwezi ona!Where is that 3level?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huu mbona ni kama mfereji wa kutoa mikojo ya ng’ombe kwenye mazizi [emoji23][emoji23][emoji23]Tunachocheka hapa ni hii mifereji ilimaliza dollar mill ngp vilee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579315
Kwanza ni overpass ya 50 metersHAHAHAHA, flyover??? Mwanaume tuko kwa elevated expressway ya 27 km wewe unasema flyover??? Unakichaaa?
Hujatazama video niliyokupa jinsi kazi ianpigwa kwa kasi? Tena kwa pesa za kibinafsi sio GOK,. Hii haiwezi kwama kama hiyo sgr, mwanza airport, BRT phase 2, Rufiji dam etc. Hii ni mchina na kazi usiku na mchana.Iko wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekuuliza iko wapi unaanza maneno au ndo ile mkopo wa mchina utakaowatafuna kwa miaka 27?Hujatazama video niliyokupa jinsi kazi ianpigwa kwa kasi? Tena kwa pesa za kibinafsi sio GOK,. Hii haiwezi kwama kama hiyo sgr, mwanza airport, BRT phase 2, Rufiji dam etc. Hii ni mchina na kazi usiku na mchana.
Mchina si estim, hawa hawana mchezo kwa kazi.
Between your mom's legsWhere is that 3level?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
3 levels?Kweli watanzani mko na shida, ati only one in eac. Hujui Uganda walijenga hiyo kabla hata mjue kupika chips mayai.
Ushakasirika unaanza matusi ss kweli leo nimewapiga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Between your mom's legs
This is not the smoke you're looking for, find somebody else to troll
Kuna mmoja Kaandika Stendi ya mabasi kama ile ya Dodoma huwa zinajengwa hadi mandera,Kenya hamjawahi kufanya mradi kwa pesa za ndani mnatia aibu sn wanasiasa wanakusanya pesa wanapeleka ulaya kwenye accnt zao nyie wanakuachieni madeni daahh inauma sana.
Wanaijua vizuri ile na ilileta mtikisiko kenya nzima, yn imefika kipindi Tz tukizindua mradi Wakenya wanatukana serikali yao [emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mmoja Kaandika Stendi ya mabasi kama ile ya Dodoma huwa zinajengwa hadi mandera,
Nimemuitisha ailete naona anajifanya hajaona comment yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ni maneno mengi halafu kwa ground hakuna kitu.
Hii hufanyika dunia mzima, kukiwa na land slide.
i) Hii hapa chini kwa picha ikifanyika Norway hizi ni vitu mtu hauezi zuia.
ii) Hata mwaka jana barabara ya kutoka mai mahiu kuelekea Narok ilikatika ka kuacha shimo kwa sababu rift valley ilianza kusonga tena. sahi imerekebishwa. Hata hiyo redhill link road itarekebishwa.
iii) Japan wameishi wakirekebisha barabara zao baada ya kila earthquake au tsunami.
Punguza udaku na uvumi, hii ni nature na haiwezi zuia, ni kukubali na kurekebisha.
View attachment 1579300
Nowonder Kenya double Tanzania in the length of tarmacked roads hata kama Tanzania ni twice the size of Kenya.Barabara ipi ss mbn hueleweki.
Landslide nyingine hz hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]bro ni landslide au ni maji ya bomba yamelowanisha kuta za barabara zikashuka[emoji13][emoji13][emoji13]
hili nalo unakaza bro[emoji1787][emoji1787]kweli uzalendo ni kazi ngumu.angalia hii picha umeleta na kile kimefanyika kenya kama zinafananaView attachment 1579340
View attachment 1579341
hapa kenya utaona kabisa ardhi ambayo ndio nguzo imebaki,ila coat iliyowekwa kitapeli imeshuka peke yake,tofauti na huko yukoshima japan,ardhi imekatika na barabara yake.
Keep dreaming [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nowonder Kenya double Tanzania in the length of tarmacked roads hata kama Tanzania ni twice the size of Kenya.
Afdhali hiyo unaona ni udongo kidogo imeingia kutokana na mmomonyoko wa udongo na mvua.Tunachocheka hapa ni hii mifereji ilimaliza dollar mill ngp vilee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579315
You can`t argue with facts you fool. Kenya`s total tarmacked roads are 21,000km while Tanzania is still at 12,000km.Keep dreaming [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani ni lazima iandikwesasa wewe upande wako unaona dar is more developed than nairobi? ebu tuonyeshe ni wapi imeandikwa dar is more developed than nairobi?
Weka picha wacha maneno, angalia roads zenu vile zinakaa bila ya make up [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Afdhali hiyo unaona ni udongo kidogo imeingia kutokana na mmomonyoko wa udongo na mvua.
Yenyu hapo kati kati ya jiji ni kinyesi na plastiki, mpaka nyasi inamea ndani usifikirie hatujui dar. Kati kati ya jiji, unapata maganda ya mananasi iliyooza, vibanda chini ya hapo pspf towers.
Leta iyo 3 levels Buda, unazunguka mbuyu.Naona baridi tayari ishakupata. Ndio tumeanza na ushatense. Now let me take you to Mombasa
View attachment 1579227View attachment 1579228View attachment 1579231