The owner of the biggest farm in Africa, Unajua alipo? 😊🌍

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Kuna watu huwa wamekuzwa kuwaita wananchi wa nchi flani kwamba ni wavivu sana lakini hawajui chakula kilichopo mezani kila siku nchini mwao kote zaidi ya 50% kinatoka kwenye mikono ya "wavivu"

Tuachane na mambo ya vyakula, sasa tupo kwenye infrastructures, kutana na muafrika billionaire mwenye shamba kubwa kuliko shamba lolote lililopo Africa.

Watakuja muda sio mrefu na story za kuokota okota online [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu huwa wamekuzwa kuwaita wananchi wa nchi flani kwamba ni wavivu sana lakini hawajui chakula kilichopo mezani kila siku nchini mwao kote zaidi ya 50% kinatoka kwenye mikono ya "wavivu"

Tuachane na mambo ya vyakula, sasa tupo kwenye infrastructures, kutana na muafrika billionaire mwenye shamba kubwa kuliko shamba lolote lililopo Africa.

2000 acres make it the biggest farm in Africa? 😂 😂 😂 😂 Maybe the biggest in Mbeya.
Lack of exposure and a poor education system shows once again.

The number of plantations with thousands of acres in Kenya is beyond count.
 
The number of hungry people in thousands of numbers in Kenya is beyond count 😁😁😁

Muwe na maelfu ya hekari halafu mfe njaa? Kwanza ardhi yenyewe ipi? Hiyo jahanam
 
Utachoka tu.
LDC. shame of Africa.
 
Utachoka tu.
LDC. shame of Africa.
Leta mtu mmoja Kenya mwenye shamba lake binafsi lote lipo utilised kwa hizo hekari, sio unalialia hapa.

Huyu ndio supplier wa nguzo za umeme Kenya, serikali yenu inamlipa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana

Jamaa kichwa maji sana, anafikiri nasema kwamba hilo ndio shamba kubwa kuliko yote Africa, wakati point hapa ni shamba kubwa kumilikiwa na mtu mmoja Africa

Kuna counties nyingi Kenya ukubwa wake ni sawa na hilo shamba la huyu Mtanzania mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kaona wivu kwann sio mkenya ndo analimiliki
Jamaa kichwa maji sana, anafikiri nasema kwamba hilo ndio shamba kubwa kuliko yote Africa, wakati point hapa ni shamba kubwa kumilikiwa na mtu mmoja Africa

Kuna counties nyingi Kenya ukubwa wake ni sawa na hilo shamba la huyu Mtanzania mmoja.
 
Leta mtu mmoja Kenya mwenye shamba lake binafsi lote lipo utilised kwa hizo hekari, sio unalialia hapa.

Huyu ndio supplier wa nguzo za umeme Kenya, serikali yenu inamlipa.
Jombaa, Kenya hatutumii post za mbao kama nguzo za umeme. Tunatumia nguzo za concrete ambazo zinatengenezwa kwenye viwanda. Kutoka Januari viwanda visivopungua 20 vya nguzo tu, vimefunguliwa Kajiado County kwenye barabara kuu ya Nai-Namanga. Hiyo ni mwaka huu, kuna vingine vingi vya hapo awali, Kajiado County na kwenye counties zingine. Wao ndio wanasuppy nguzo za umeme kwa kampuni ya umeme, Kenya Power. Tangia mwaka jana Kenya kumekuwa na marufuku ya kukata miti.
 
Jombaa, Kenya hatutumii post za mbao kama nguzo za umeme. Tunatumia nguzo za concrete ambazo zinatolewa kwa viwanda. Kutoka Januari viwanda visivopungua 20 vya nguzo tu, vimefunguliwa Kajiado County kwenye barabara kuu ya Nai Namanga. Tangia mwaka jana Kenya kuna marufuku ya kukata miti.
Mkate miti mnatoa wapi hiyo miti ya nguzo za umeme? Tanzania ndio inawahudumia toka kitambo

Tanzania inahudumia almost nchi zote za SADC kwenye hii bidhaa.
 
Ndo maana tunawaambiaga wakianza uchokozi wao ndio wataumia [emoji23][emoji23][emoji23] wakubwa zao wanajua hilo, achana na hawa wa jf
Mkate miti mnatoa wapi hiyo miti ya nguzo za umeme? Tanzania ndio inawahudumia toka kitambo

Tanzania inahudumia almost nchi zote za SADC kwenye hii bidhaa.
 
2000 acres make it the biggest farm in Africa? 😂 😂 😂 😂 Maybe the biggest in Mbeya.
Lack of exposure and a poor education system shows once again.

The number of plantations with thousands of acres in Kenya is beyond count.

Can you tell how many acres inside one hectare?
 
Back
Top Bottom