Kiranga huwa anataka kile anacho hitaji sijuwi umenielewa,Mkuu,
Huyu jamaa kashindwa kujibu hoja kakimbia uzi kwa kuniblock lkn bado anatupa vijembe kupitia comments za wengine, sasa mm huwa sipindishi, nmemfungulia uzi apate info ajue yeye ni cheap sana na tatizo lake tumelijua
Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache
Ndo maana nikaita hii poem, kama huelewi poem ni nini kasome kwanza. Kuna matumizi mbalimbali ya lugha hapoHapo ndo umeharibu Uzi wako. Kiranga anaonekana ana maisha magumu sana. Hakunaga mtanzania mwenye mafanikio au anae fanikiwa kwenye maisha yake ambae anaweza kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.
Hiyo Mungu hayupo ya Kiranga ni kama anasema " why me Lord!"
So unarudia alichofanya kiranga na sio kujitofautisha .View attachment 2878841
Yeye alichofanya hapa ni nn. Acha kutetea upuuzi
Mm mtoto wa mtaani, we have to settle scores.
Ligue yao ya Leo nijuu ya Magufuli, Musk na Makonda. Kiranga kwamuono wangu kaelemewa kihoja siku yaleo lakini akakimbilia kumblock jamaa, ingawa Kiranga anahoja asikilizwe.Bora muache Mungu ajitete uwepo wake wenyewe kama yupo kweli !!
Kuzidi kukasirikia wanaopinga uwepo wake ni kuzidi kuonyesha kwel hayupo na hana anaoloweza kufanya
Miaka inavyozidi kwenda watu wanaopinga watazidi kuwa wengi.
EmarAnd that defines his pyschological problem ambalo nmetoka kusemea mwanzo kabisa, he is a narcissist
Yuko actively sana leo atakuja soon.We have to settle scores, thats mob justice, muuaji anauliwa, kinyozi ananyolewa
Nadhani atapotezea tu.Kiranga umeitwa huku mkuu