THE POEM: Bwana Kiranga, Atheist

THE POEM: Bwana Kiranga, Atheist

Mkuu,

Huyu jamaa kashindwa kujibu hoja kakimbia uzi kwa kuniblock lkn bado anatupa vijembe kupitia comments za wengine, sasa mm huwa sipindishi, nmemfungulia uzi apate info ajue yeye ni cheap sana na tatizo lake tumelijua
Kiranga huwa anataka kile anacho hitaji sijuwi umenielewa,

Akiona hamuendi sawa basi ana Ku ignore
 
Bora muache Mungu ajitete uwepo wake wenyewe kama yupo kweli !!

Kuzidi kukasirikia wanaopinga uwepo wake ni kuzidi kuonyesha kwel hayupo na hana anaoloweza kufanya

Miaka inavyozidi kwenda watu wanaopinga watazidi kuwa wengi.
 
Sijawahi ona tatizo au udhaifu kiasi hicho, kama haamini kuna Mungu yupo sahihi kwa nafasi yake, mm mkristo ww mwisilamu tunaamini Kuna Mungu kila mtu Kwa nafasi yake wote tupo sahihi kwa namna yetu Kuna mtu haamini morden religion anaamini Imani zetu za kiasili nae yupo sahihi
 
Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache

Hapo ndo umeharibu Uzi wako. Kiranga anaonekana ana maisha magumu sana. Hakunaga mtanzania mwenye mafanikio au anae fanikiwa kwenye maisha yake ambae anaweza kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Hiyo Mungu hayupo ya Kiranga ni kama anasema " why me Lord!"
 
Kiranga hana hoja Ila umekosea kutumia personal Attack
Screenshot_20240121_200059_Chrome.jpg

Yeye alichofanya hapa ni nn. Acha kutetea upuuzi

Mm mtoto wa mtaani, we have to settle scores.
 
Hapo ndo umeharibu Uzi wako. Kiranga anaonekana ana maisha magumu sana. Hakunaga mtanzania mwenye mafanikio au anae fanikiwa kwenye maisha yake ambae anaweza kufikia hatua ya kuwaza kama Mungu yupo au hayupo.

Hiyo Mungu hayupo ya Kiranga ni kama anasema " why me Lord!"
Ndo maana nikaita hii poem, kama huelewi poem ni nini kasome kwanza. Kuna matumizi mbalimbali ya lugha hapo
 
Bora muache Mungu ajitete uwepo wake wenyewe kama yupo kweli !!

Kuzidi kukasirikia wanaopinga uwepo wake ni kuzidi kuonyesha kwel hayupo na hana anaoloweza kufanya

Miaka inavyozidi kwenda watu wanaopinga watazidi kuwa wengi.
Ligue yao ya Leo nijuu ya Magufuli, Musk na Makonda. Kiranga kwamuono wangu kaelemewa kihoja siku yaleo lakini akakimbilia kumblock jamaa, ingawa Kiranga anahoja asikilizwe.
 
Back
Top Bottom