Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ndugai is not seen public.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilichukua muda mrefu sana Hayati Abdul Jumbe kuonekana hadharan baada ya kuondolewa kwny Urais Znz 1984
The same to Ndugai…ikihakikisha hasira na ghadhabu zake za 'kujiuzulu kwa hiyari yake' zikiisha atatoka hadharan
Huenda washamuandikia barua ya kuomba udhuru na kisha watajijibu kwa hiyo itakuwa yupo nje ya Bunge kwa ruhusa maalumVipi kuhusu muda wa mahudhurio ya vikao si una limit kama ilivyokuwa kwa akina nasari
Sahau hiloVipi kuhusu muda wa mahudhurio ya vikao si una limit kama ilivyokuwa kwa akina nasari
mbona nasary aliandika barua. Mi nadhani haijalish umeandika au lah muda ukifikia limit unatolewaHuenda washamuandikia barua ya kuomba udhuru na kisha watajijibu kwa hiyo itakuwa yupo nje ya Bunge kwa ruhusa maalum
mbona nasary aliandika barua. Mi nadhani haijalish umeandika au lah muda ukifikia limit unatolewa
[emoji1][emoji1][emoji1]Huenda washamuandikia barua ya kuomba udhuru na kisha watajijibu kwa hiyo itakuwa yupo nje ya Bunge kwa ruhusa maalum
huo muda ni kwa ajili ya Chadema tuVipi kuhusu muda wa mahudhurio ya vikao si una limit kama ilivyokuwa kwa akina nasari
hii ina apply kwa chadema tuVipi kuhusu muda wa mahudhurio ya vikao si una limit kama ilivyokuwa kwa akina nasari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyie endeeni kuamsha hasira zake akitoka na rungu lake kila mtu atafute njia ya kutokea.
Wewe ni Jobo mwenyewe nini?, Mbona hukuudhuria kikao cha Bunge??.Waandishi wa habari uchwara wanaokoteza okoteza Habari wasizozijua
Hawana resources za kujiendeleza na taaluma zao
Hivi hawana hela za kupanda hata boda kutafuta habari?
Eti yuko chimbo utakuta anatoka kama kawaida na familia yake kwenda shopping na kutembea tembea ila hao wamekaa ofisini wanasubiri za kuambiwa
Mtu ajifiche siku zote hizo ili iweje yaani hana maisha ama
Habari zinafuatwa kila mahali zilipo wengine wanauza kwa kuingia front wako Kiev nyie kuleni mahindi ya kuchoma tu