The political purge continues, Ndugai is not seen in public

The political purge continues, Ndugai is not seen in public

Wewe ni Jobo mwenyewe nini?, Mbona hukuudhuria kikao cha Bunge??.

Majukumu niko nasubiri mavuno ya Korosho shambani huku tuma vijana waje wapige picha za kutosha [emoji23]
Boda ya kuwarudisha ntawapa njaa hao
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Huyu asipoonekana vikao kadhaa huko mjengoni atolewe ubunge wana kongwa wapate kuwakilishi kama alivyomfanyia TL malipo ni hapa hapaduniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaotakiwa kutii sheria bila shuruti Ni vyama vya upinzani pekee ccm wao wanakinga ya kuvunja sheria...
 
Ndugai Hana haki ya kuishi, alimtesa Sana Tundu Lissu
Daaa! nimeamini kabisa Malipo ni hapa hapa Duniani! yaaani inabidi niwe mpole tu kwa watu!!!! yaani ile dhambi ya kum dis Lisu bengeni itawatesa wengi ..........ngoja tusubiri!! ............hivi Bashite yuko wapi??? Muangalieni yule!!! mtaja sikia kajiua ohooooo!!

Yani wabongo walivyo na roho za hasira nae . heeee!....wakimkamata tuuu!! watamwambia a jinyonge mwenyewe!! yaani ajitundike kwa hiari...... na ulinzi maskini wa Mungu!! hana yule bwana mama yangu weeee!..... jiwe alimlea vibaya yule mtoto......

kamke kake kale dooo!!! sijui wako chimbo gani wale watu siwasikii!!...na mama akikunja mikono tuu wamekwisha!
 
Ilichukua muda mrefu sana Hayati Abdul Jumbe kuonekana hadharan baada ya kuondolewa kwny Urais Znz 1984

The same to Ndugai…ikihakikisha hasira na ghadhabu zake za 'kujiuzulu kwa hiyari yake' zikiisha atatoka hadharan
Aisee kwa hiyo ndugu yupo Kigamboni?
 
Ukiwa nje kwa vipindi kadhaamfululizo bila ya Taarifa

Nasari hakuomba ruhusa
Yule mbunge wa Musoma miaka mingapi hakugudhuria vikao vya bunge? Aliwahi kusikia kama aliondolewa ubunge wake?
 
... kwa alivyomtenda Lissu na apotelee huko huko. We do not need to see him anymore! Kama alikosa utu kwanini sisi tuwe na utu naye?
Kiti kile alikalia moto..ameondoka na moto na moto unamuunguza kongwa kidogo kidogo. Roho mbaya huungua moto
 
Back
Top Bottom