The political purge continues, Ndugai is not seen in public

The political purge continues, Ndugai is not seen in public

Waandishi wa habari uchwara wanaokoteza okoteza Habari wasizozijua
Hawana resources za kujiendeleza na taaluma zao
Hivi hawana hela za kupanda hata boda kutafuta habari?
Eti yuko chimbo utakuta anatoka kama kawaida na familia yake kwenda shopping na kutembea tembea ila hao wamekaa ofisini wanasubiri za kuambiwa

Mtu ajifiche siku zote hizo ili iweje yaani hana maisha ama
Habari zinafuatwa kila mahali zilipo wengine wanauza kwa kuingia front wako Kiev nyie kuleni mahindi ya kuchoma tu
Mwandishi gani amfuate akutane na bakora?😂
 
Hatakiwi kuonekana popote. Yule ni MHAINI. afungiwe kijijini kwao kongwa
 
Back
Top Bottom