Time heals all the wounds sweety, u take ur time na kuwa na positive thinking. Things happens for a reason. Nilishakuambia tena, narudia stori hii. Rafiki yangu aliachwa out of a sudden kwa kuambiwa tu I feel u no more! She tried to be positive, jamaa alioa the next year na kufariki miezi michache baadae. Tulihuzunika lakini siwezi kusema huzuni yetu ilizidi ya mkewe. Kuwa positive kutakupitisha through mapenzi, magonjwa, misiba, financial stress, u name it!
mito mpenzi nadhani kama wote wanaumia wasingekubali kuumia au? (Iwapo haihusiani na external factors).
Platozoom, vipi best? changia tu bwana huwezijua unawezajikuta unafunguliwa mlango mwepesi mpenzi.
Sijui kwa nini kuna kitu ndani yangu kinanifanya niamini kuwa kukubali kulet it go, pamoja na maumivu yake ina bidi uyapake sukari maumivu hayo na kuyachukulia positive (Kuwa pamoja na kuwa imefikia ukingoni, I had my share of happiness ambayo nisingeiexperience kama sikukutana na huyu mwenzi wangu!).
Hata hivyo nakiri kuwa thread hii inaweza kutokuwa applicable kwa wanandoa kwa sababu hii ni another level of mahusiano. Lets stick to mahusiano ya u-boyfriend na ugirlfriend au uchumba.
The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa
The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa[/QUOTE]
Bishanga hapo kwenye red ni kina mama tu? kwani siye huwa tunatoka na nani zaid?
mwanajamiione
moyo unanienda mbio.... tafadhali nipigie
Aisee,ngoja nikuitie ambulance.
Mmmh kuachana na mpenzi wako kwa bashasha huku ukikenua meno kwa furaha ni ndoto asee! Labda kama hukumpenda lakini hata kama hukumpenda kwa dhati lazima kuna baadhi ya vitu vilikua vinakuvutia kwake!ni ngumu sana kutokua na kinyongo..
Aksante Kongosho. I think you are right mydia but nini hasa kinachotufanya tuumie jamani? Kwa nini akili inagoma kukubaliana na hali halisi? Au ndio zile hisia za ...'amenichezea hisia zangu za mapenzi' zinakuwa zimetawala?
mi nadhani kinachotufanya tuumie ni 'akili inakuwa haina akili' kwenye mapenzi.
Aisee hata mie sijui na moyo unajua kuchanganyikiwaje?
The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa
Msichana wangu wa kwanza sikkuamini kua angeweza kuondoka na kwamba tusionane tena mmmh iliniuma sana na wala sikuweza kuamini kuwa anaweza kulala na me mwingine. power of letting go