The Power of Letting Go....

The Power of Letting Go....

Time heals all the wounds sweety, u take ur time na kuwa na positive thinking. Things happens for a reason. Nilishakuambia tena, narudia stori hii. Rafiki yangu aliachwa out of a sudden kwa kuambiwa tu I feel u no more! She tried to be positive, jamaa alioa the next year na kufariki miezi michache baadae. Tulihuzunika lakini siwezi kusema huzuni yetu ilizidi ya mkewe. Kuwa positive kutakupitisha through mapenzi, magonjwa, misiba, financial stress, u name it!
 
Time heals all the wounds sweety, u take ur time na kuwa na positive thinking. Things happens for a reason. Nilishakuambia tena, narudia stori hii. Rafiki yangu aliachwa out of a sudden kwa kuambiwa tu I feel u no more! She tried to be positive, jamaa alioa the next year na kufariki miezi michache baadae. Tulihuzunika lakini siwezi kusema huzuni yetu ilizidi ya mkewe. Kuwa positive kutakupitisha through mapenzi, magonjwa, misiba, financial stress, u name it!

The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa
 
mito mpenzi nadhani kama wote wanaumia wasingekubali kuumia au? (Iwapo haihusiani na external factors).

MwanajamiiOne maana yangu ni kwamba hata kama wewe ndo umemuacha, huwezi kuacha huku unakenua meno kama alivyosema Purple. Na ukifiria zaidi utakuta ni maumivu ndo yanayokufanya usikenue hayo meno. Lakini pia tusisahau kwamba kuna kukumbuka zile great memories na mpenzi wako au good time uliokuwa nayo at times na mpenzi wako. Mambo kama haya ndo yanasababisha niseme wote (aliyeacha na aliachwa) mtaumia tu ijapokuwa mtatofautiana kiasi cha maumivu
 
Platozoom, vipi best? changia tu bwana huwezijua unawezajikuta unafunguliwa mlango mwepesi mpenzi.

Sijui kwa nini kuna kitu ndani yangu kinanifanya niamini kuwa kukubali kulet it go, pamoja na maumivu yake ina bidi uyapake sukari maumivu hayo na kuyachukulia positive (Kuwa pamoja na kuwa imefikia ukingoni, I had my share of happiness ambayo nisingeiexperience kama sikukutana na huyu mwenzi wangu!).

Hata hivyo nakiri kuwa thread hii inaweza kutokuwa applicable kwa wanandoa kwa sababu hii ni another level of mahusiano. Lets stick to mahusiano ya u-boyfriend na ugirlfriend au uchumba.



Kuna binti mmoja alikuwa hovyo sana kwangu, kama kuna kizuri kutoka kwake labda 1% out of 100%. Lakini nikapunguza hasira na kuiangalia hiyo 1%, nikaithamini hiyo na kumnunulia zawadi pamoja na card imeandikwa "Thank you so much".

Nilimwita (alijua kabisa kitakachotokea kwa sababu nilimwarifu) nikamnunulia lunch na baada ya kula nikamkabidhi zawadi. Yamekwisha
 
mimi nilishaweza kuachia sehemu ambayo ilikuwa ngumu mno{ndoa}na kukubalika kijamii ilikuwa ni ngumu sana tena sana,nililia weee mpaka mwisho nikasema hapana be strong,you can do it.ila kiukweli,i did the right thing.maana miaka ingeenda tu,na ndani kulikuwa hakuna mapenzi tena.na leo huyo huyo mtu,ni rafiki yangu na tunaelewana kwenye shida na raha.ila siombei yamkute mwenzangu yoyote yule
 
Hah King'asti na Bishanga jamani mie kwa sasa naelea kwenye mapenzi. Ninauliza tu maana reflections ni muhimu ati. A very dear friend of mine aliwahinitumia ujumbe huu ...........

Be Smart enough to hold on, be Brave enough to let go Coz leting Go is Letting Life Happen..............It has been a lesson since then.
 
Kwenye miti hakunaga wajenzi dearest. So mie najipimia baraka zangu, hata kuachwa ni baraka. Sasa mbona mie ndo napeenda tena kwa uaminifu ila ndo natendwa! Nna mpango wa kustaafu uaminifu recently, u can be my guinea pig!

Ila mie naona the worst thing ni kufiwa na mpenzi, kama ananiacha tu it is his loss aisee! I believe I'm a good woman and a good lover too. I can brag about that, hehehe!
The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa
 
MwanajamiiOne, unaujua wimbo wa the gambler? Ngoja nikamuamshe BAK aje aweke vituz. Haya kidogo nachombeza:
U got to know when to hold on,
when to walk away
and when to run.
Sasa wewe unamkimbia simba afu unajutia kumshinda mbio? Akhuuu,hata chura akipigwa teke anaumia lakini anakuwa kapunguziwa safari pia.
 
Last edited by a moderator:
aisee katika kitu ambacho sijawa kuexperience in ma life ni kuacha ama kuachwa nikaumia. Anyway may be viboyfriend vyangu vya utotoni hatukuwa na defined terms it was like hit and run and to me once we meet, the moment i delete you in mafolders unless kama wao walikuwa wanaumia.

ila kuna kitu ambacho mimi kilikuwa kinanifnya niwe hivyo nacho ni, sikuwa namueka boyfriend kama mtu ambaye nitakuja kuwa naye kama husband sijui kwanini lakin miye nilijua ni friends because we can do ma2c and thats all. Nilipompata mchumba naye nilifanya fasta ngoma ikatiki akaingia kingi hizi na zenyewe zilikuwa ni akili advanced kuliko za hapo nyuma. so naweza ku conclude kwamba kwangu mimi mahusiano ya kirafiki yafikiapao tamati it was meant to be like that and sito umia wala kuregret.

when it comes to mahusiano ya kindoa hapo nakuja tena na most advanced brain ambayo kwake maisha yako we live the normal life and we love as God granted. incase of any biggest problem huwa naamin kuna njia kuu 3 za kutatua.
- reconcilliation here you discuss you two and try to exhaust everything so as to shape you lives na hapa huwa hapahitaji mwanakamati wala mlezi its you two.

-separation this goes higher kwani it involves parents care na lakin huwa inawapa wanandoa muda mzuri wa kukaa na kutafakari undani wa maisha yao kila mtu akiwa mbali kisha wakafikiri njia gani bora zaid and wanapokutana kujadili basi kila mtu anakuwa yuko tayari ka ajili ya kupalilia penzi lao.

- divorce hii ni highest stage, and to it doesn't involve any third part kama mmeamua. to me huwa siafiki sana hii manake ina side effects nyingi sana lakin pale inapobidi basi naona ni njia nzuri sana na so long as you agree on this hakuna haja ya kuekeana uadui wala nini do it in harmony mkijua japo leo mnatengana lakin kuna siku amewah kukupa furaha.
 
The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa[/QUOTE]
Bishanga hapo kwenye red ni kina mama tu? kwani siye huwa tunatoka na nani zaid?
 
Last edited by a moderator:
Kikawaida,moja ya udhaifu mkubwa wa mwanadamu ni kukubali ukweli.Kwenye eneo hili la mahusiano kubembeleza mahali ambapo hautakiwi ni moja ya matokeo ya maradhi ya utegemezi wa hisia.Maradhi haya ni mabaya sana.Mtu mwenye maradhi haya lazima atajiua,au kulazimisha japokua atakua anafujwa,kunyanyaswa na mengine kama hayo.Lakini unapojitambua na kujua wewe ni mtu kamili na haukamilishwi na mtu mwingine wala uhusiano,hauwezi kulazimisha uhusiano ambao unaona kabisa hauna manufaa nawe.Utakubali akili yako ifanye kazi na utakubali muachane bila fujo,kinyongo wala kulipiziana visasi!
 
hebu usiniletee uchuro, nikupeleke wapi na sura kama panga la shaba??

Ushajizeekea hata kwa P.O.P husimami lol

Kongosho,siku ukiniacha nitakoroga thiodan ninywe,lol nitaishije bila wewe?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh kuachana na mpenzi wako kwa bashasha huku ukikenua meno kwa furaha ni ndoto asee! Labda kama hukumpenda lakini hata kama hukumpenda kwa dhati lazima kuna baadhi ya vitu vilikua vinakuvutia kwake!ni ngumu sana kutokua na kinyongo..

Ni kweli kabisa Purple simaanishi kuachana kwa vicheko ila pale unapoabiwa/ona kuwa its over basi uumie kiutuuzima kwa maana kuwa unaumia na kukubali kuwa this is is lakini si kuumia na kuanza drama za kutaka uendelee kumuhodhi ilhali ye mwenyewe hataki kuhodhiwa.
 
mi nadhani kinachotufanya tuumie ni 'akili inakuwa haina akili' kwenye mapenzi.

Aisee hata mie sijui na moyo unajua kuchanganyikiwaje?

Aksante Kongosho. I think you are right mydia but nini hasa kinachotufanya tuumie jamani? Kwa nini akili inagoma kukubaliana na hali halisi? Au ndio zile hisia za ...'amenichezea hisia zangu za mapenzi' zinakuwa zimetawala?
 
Last edited by a moderator:
mi nadhani kinachotufanya tuumie ni 'akili inakuwa haina akili' kwenye mapenzi.

Aisee hata mie sijui na moyo unajua kuchanganyikiwaje?

aisee Kongosho kama kuna kosa duniani tulifanyalo katika mapenzi ni kuuacha moyo ukaisemezea akili. yaani moyo mara nyingi ndio huwa unaisemesha akili juu ya mapenzi badala ya akili kuusemesha moyo. mara nyingi haya ya kuusikiliza moyo ndipo mtu anapodanganywa kwani siku zote moyo ni mdanganyifu na paso kutumia akili ambayo iko smati kaktika amaamuz basi siku zote tutaishia kuumizwa na mapenzi tu.

hivi unajua kwanini mahusiano yanapovunjika wanaume wengi huwa wanaheal mapema ni kwasababu wenzetu wanapenda kwa akili na siyo kwa moyo kama siye wanawake
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo nikiongeza kabuzi kamoja tu unanipiga chini???

Haya bana naongeza sita lol

The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa
 
Msichana wangu wa kwanza sikkuamini kua angeweza kuondoka na kwamba tusionane tena mmmh iliniuma sana na wala sikuweza kuamini kuwa anaweza kulala na me mwingine. power of letting go


Elli pole sana kwa maumivu but you were Brave enough to let her go. Hongera sana aisee. Wengine wanakujaga na slogans za ....Mie najua kupenda, sijui kuacha au kuachwa ...na wa hivi akikukuta na mtu mwingine ni mbinde aisee. Mziki wake usiuombee.
 
Back
Top Bottom