The Power of Letting Go....

 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nimeondoka na somo la King'asti lol kuachwa ni baraka hahah we mdada nakufananisha na dadangu flani aisee.

Namwona Soulmate Mbu hapo kaja kamwaga maziwa saksafuni kisha kayafuta ila kaacha michirizi . mh hata sijui ni dongo gani nlikuwa nimetupiwa yarabi mie.

We Soulmate hebu bwana rudi hapa unifunze mie nielewe akha!
 

... 😉

Soulmate, Sina la kukufunda upya mpendwa, ur good friend ametoa funzo zuri tu. Dawa chungu ndio inayoponya.
 

....ubarikiwe sana.
 

....kuna jambo wengi wetu hatupendi kukubaliana nalo, kwamba ndoa ni muungano mtakatifu. Nguvu ya sala, maombi na dua mbali mbali kama ni kweli unataka jibu Mw'mungu anakupa jibu mapeema sana.

Tunasali na kuomba mwongozo wa mw'mungu, akitupa ishara (huyo sio!,) ...tunamhoji tena YEYE mjuzi wa yote kwanini isiwe kama tunavyotaka. Mbaya kuliko yote, tunajiambia "potelea mbali" tutaoana hivyo hivyo,

Sali, Omba na Mw'mungu siku zote anakujibu ndani ya siku tatu mpaka ishirini na moja (hata kama hutataka kuamini jibu)
 
hiyo inawezekana kama unadate mtu unaejua kabisa haitawezekana nyie wawili kuwa pamoja kwa mda mrefu, like dating a married man/woman

ni rahisi kuachana bila hasira wala kinyongo
 
Na hapa ndo tatizo langu na wewe (huyo dadako kama ni Nyamayao anapaswa awe anakuchapa!). Unabakia kuwaza michirizi ya maziwa, nje anapita muuza maziwa hata kengele ya baiskeli huisikii! Unawaza maziwa sijui yaliyofutwa yalikuwa ya pink (kama ya hippopotumus) ama ya mgando. Hebu acha past iende zake, u are crowding your future and your present as well! Bible inasema 'acha wafu wazike wafu wao'.

Hivi leo si ni jumapili?
Namwona Soulmate Mbu hapo kaja kamwaga maziwa saksafuni kisha kayafuta ila kaacha michirizi . mh hata sijui ni dongo gani nlikuwa nimetupiwa yarabi mie.
 
 
Last edited by a moderator:
 
Hivi ni kweli kwamba aliyeachwa ndo ataumia, mi nilidhani kwamba wote wawili mtakuwa na maumivu isipokuwa tu yanatofautiana extent

yap u ar rite wote wawili mnakua na maumivo na inategemea na sababu iliyowafanya mwachane
 
Gfsonwin, I beg to differ ur honor!
Men get cheated too, they also get abused, Bishanga for one has been there. Why do we, women, have to make such a big out of it? Becoz we have been taught and groomed to behave like victims! Act like a lady but think like a man! What's the big deal? Mie nawaheshimu sana wanawake na wanaume walioweza kujikwamua from useless relationships! Sasa ushinde kombe, afu ulie for most of ur remaining life? Oteeeee!
 
Last edited by a moderator:
The power of positive thinking sio?
Lakini na nyie kinadada tukiwapenda pendekeni basi sio muanze minyodo na kutupasua vichwa,mwisho tutawapiga chini tu,halafu siku hizi kinamama kwenye mahusiano uaminifu umekuwa zero,mnakeraaaaaaaaaaaaaaa

bt hat nyie wanaume muwe na choice moja sio kua na options
 


King'asti you said it right, but umesahau kwamba what makes the difference is the extent ambayo men get abused or cheated ukikompea na women, pia tumesahau kabisa the society at large do govern our responsibilities in a community, i real hate this manake imekuwa ni sababisho kubwa la kumvictmize mwanamke but pia ni ngumu sana kuiondoa.

Narudia tena msemo wangu ambao mara kwa mara huwa nasema kuwa when needs arises kaa pembeni kuepusha msongamano. you know we may be saying a lot of things out of man and a woman relationship ila most of them zikawa na thories tu ambazo in real sense hazina application.
 
... 😉

Soulmate, Sina la kukufunda upya mpendwa, ur good friend ametoa funzo zuri tu. Dawa chungu ndio inayoponya.

Hahah Soulmate hilo hilo la dawa chungu ndiyo iponyayo mbona funzp pia? Aksante na nlijua tu kuwa unalo la luchangia hapa si ndo nkashangaa umeingia na kutoka huku nyuma ukiacha .......This post has been deleted by Mbu........ ndo majicho yakantoka ati.

Huyu King'asti huyu hatar!
 

Aksante Soulmate nadhani majibu ya maswali yetu mengi kama binadamu yamelala hapa. Ubarikiwe sana.
 

Hahahah King'asti nadhani hujanielewa, maziwa nizungumziayo hapa ni ile post aloituma Soulmate kisha akaidelete kabla sijaisoma nikaambulia mchirizi tu kuwa this post has been deleted by Mbu akha1! Ulivyokuwa mkali naona Da nyamayao kakukabidhi kijiti hahah jamani nishakua mbona?
 

Aahaa, hapo kwa red King'sti umefanya nimkumbuke dada yangu gfsonwin naye aliwahi kusema something like that, it's good though to be confident with yourself!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…