The Power of Letting Go....



Kuna quotation moja niliisoma hamali flani huwa inanisaidia sana, let me share this with u nawe pia inaweza kukusaidia

"When someone comes into your life, let him come. Welcome the person, whoever he/she is. Enjoy what it is he/she brings, even if it's only for a short time.

When it is time for a person to go away, let him go. Do not turn the person's leaving into an experience of rejection, loss or abandonment. Reliaze that his/her lwaving has nothing to do with you. it is simply time for him to go.... Do this with yourself as well. let youself come and go freely in life, and don't get caught in unnecessary chains. The more you free yourself and others, the more you easily fall in Love"

Thou huwa inaumiza sana tena sana kuachwa na umpendaye ama kuachana na umpendaye kwa sababu zisizoweza kuzuilika ila tunapaswa kuukubali ukweli na pia huwa sometime challenges tu katika maisha ama ilikuwa itokee hivyo ili upate fundisho!
 
hiyo inawezekana kama unadate mtu unaejua kabisa haitawezekana nyie wawili kuwa pamoja kwa mda mrefu, like dating a married man/woman

ni rahisi kuachana bila hasira wala kinyongo

unapenda waume za watu eh?
 
 
una akili sana wewe!
 
una akili sana wewe!

Natiririka natiririka natiririka hivi...
Natiririka natiririka natiririka hivi...
Natiririka natiririka natiririka hivi...
Natiririka natiririka natiririka hivi...

Babu Jinga kakatiza mitaa ya Tandika...
Anapiga misele huku akidundika...
Akidhani watoto wa kitaa wata wanga...
Au mke wangu atababaika na kushoboka...

Kukatiza kichochoroni masela wamembananisha...
Kimoja kimoja wakaanza kumpukutisha...
Wakasaula kila kitu na kumuacha mtu kabisa...

Kama alivyozaliwa, yaani mtu kabisa...
Ooh ooh masela oya oya...
Eeh eeh eeh raia oya oya..
Ooh ooh masela oya oya...
Eeh eeh eeh raia oya oya..

Kama Japenga, Jaaapenga...
Nasema Japani mwanangu kama Japenga...
 

kwi kwi kwi kwi alokwambia Mama Ashrat wa tandale nani?
baby Mama Ashrat vinjari yake masaki,bahari beach,weekend dubai,j'burg,we vipi?
 
Last edited by a moderator:
Wamtakia nini wewe Mama Ashrat?

si umemtelekeza wewe baada ya kumpata Kongosho? ukidondosha kitumbua mwenzio akaokota akapangusa vumbi akala kuna ubaya gani?
halafu nasikia ustawi wa jamii wanakutafuta wewe hutunzi watoto,unazalisha tu.
 
Last edited by a moderator:
si umemtelekeza wewe baada ya kumpata Kongosho? ukidondosha kitumbua mwenzio akaokota akapangusa vumbi akala kuna ubaya gani?
halafu nasikia ustawi wa jamii wanakutafuta wewe hutunzi watoto,unazalisha tu.

Wee Babu Jinga waache Baba na Mama na Ashrat wao.....mbona unapenda kuwasumbua wewe?
 
Wee Babu Jinga waacha Baba na Mama na Ashrat wao.....mbona unapenda kuwasumbua wewe?

nshakwambia Mama Ashrat katengana na mumewe ,kwanza Baba Ashrat kisukari kimemuathiri niniliyu haisimami halafu hata haeleweki eleweki,inaelekea bange aliyovuta utotoni imemdhuru.
 
Last edited by a moderator:
nshakwambia Mama Ashrat katengana na mumewe ,kwanza Baba Ashrat kisukari kimemuathiri niniliyu haisimami halafu hata haeleweki eleweki,inaelekea bange aliyovuta utotoni imemdhuru.

Mi nlivosikia ni kwamba gia box yako imekufa. Na ndo maana sishangai wewe kuokota na kula kitumbua ambacho Baba Ashrat alikitupa kule.
 
Aksante Kongosho. I think you are right mydia but nini hasa kinachotufanya tuumie jamani? Kwa nini akili inagoma kukubaliana na hali halisi? Au ndio zile hisia za ...'amenichezea hisia zangu za mapenzi' zinakuwa zimetawala?

Niliachwa ghafla bila kuambiwa sababu ya kuachwa. Nilijitahidi ku let go...... ilinisumbua kwa muda mrefu sana ingawa sikuendelea kubembeleza. Akili yangu iligoma kukubaliana na hali halisi kwa kutoelezwa what went wrong.... hadi mahusiano yakavunjwa
 
Niliachwa ghafla bila kuambiwa sababu ya kuachwa. Nilijitahidi ku let go...... ilinisumbua kwa muda mrefu sana ingawa sikuendelea kubembeleza. Akili yangu iligoma kukubaliana na hali halisi kwa kutoelezwa what went wrong.... hadi mahusiano yakavunjwa

Pole sana msafiri27 kweli inauma sana ikiwa ni zile za ....Basi tu nimeamua; sijisikii tu kuendelea au ninataka tu kuwa single ! ni bora ukaijua sababu ingawa mara nyingi nahisi inawezakuwa si sababu halisi ya kilichopelekea kukuacha!

Hivi kuna mtu anayemwacha mwenzie akamwambia kabisa kuwa nimepata mwingine ninayemwona ananifaa zaidi yako? Naona kama vile hii ni ngumu especially kwa kina dada!
 
Last edited by a moderator:

.....it's only in jf where we dare to talk openly.
Who dare tell the truth and nothing but the truth?
😀

Mwj1, kuacha kugumu kuliko kuachwa. No wonder wengi wetu tunapofikia hatua muhimu kama hiyo, tunatafuta visingizio visivyo na kichwa wala miguu kuepuka "lawama" za kutoa/kudai talaka.

...nakumbuka siku mbu niliyoachwa, nilimwambia ex-wangu, nenda kajifikirie upya...utapokuwa na uhakika unayosema njoo tena uniambie. Think twice (before you close the door) - Celine Dion.... Ili,....tukishaachana mtu ujue there's no room for U-Turn.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…