Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah we uloenda kuifukua hii thread huko ilikokuwa umenikumbusha mbali sana. Nabaki nacheka mie
Nishawahi kumuacha mtu, mimi niliumia zaidi ya niliemuacha
HAhahah Dada Nyamayao tena nimekomaa na meno kabisa yaani nkijitizama kwenye kile kioo cha kale najicheka hadi nakaa chini. Hivi mbona mlikuwa hamnichapi viboko nyie wadada nikakua kinguvuu? Kha! Wallah
hujaumia mkuu,siku ukiachwa ndo utajua maumivu yake..ha ha,sio ya kitoto
Tangopori what happened.............Dah! I have to let GO!
Japo its hard!
It is the third week now!
I loved her to the maximum! Heaven on Earth
ebu njoo hapa uniambie ulifanyaje ukalet it GO kwa yule jamaa!
Aksante Kongosho. I think you are right mydia but nini hasa kinachotufanya tuumie jamani? Kwa nini akili inagoma kukubaliana na hali halisi? Au ndio zile hisia za ...'amenichezea hisia zangu za mapenzi' zinakuwa zimetawala?
ni habari ndefu sana Heaven on Earth ngoja niishuke PM bado sijabarikiwa kuiweka hapa jukwaani!
Ni ngumu sana kuleta hisia into reality...kwa mfano unaweza kua unampenda mtu to death... ila hana namna ya kuona tofaut na kuonyesha matendo yanayoashiria anakupenda to tht extent.....
And when it comes to let it go kiroho safi lazma kuna mmoja ataumia na hasa yule ambae haon iyo kua option rather u can stil goo.....
Mara nying it works out kama mko mbal...na ukapata mtu wa kukupa kampan(a gud frend) kama mko karib na mnaonana inakua ngumu...though both ways can work out....