The Power of Letting Go....

The Power of Letting Go....

Inaelekea humu ndani watu wengi sana ni majeruhi wa mapenzi....

Mwe...!

tupo wengi kwakweli!kama me ndo kwanza jeraha bichiiiii kabisa!!!yaani kuachwa tena pasipo sababu yoyote kuna umiza kuliko maelezo.
 
leting go ni nyepesi kuisema mi binafsi iliniletea homa inapokuja ugumu kwa sisi wasichana ni kwamba utavulia nguo wangapi ndo mana huwa inaleta maumivu sana bora nyie wanaume kidogo unatongoza mwingine
 
Inaelekea humu ndani watu wengi sana ni majeruhi wa mapenzi....

Mwe...!

ts part of growing up,japo inauma it may change ur life for good forever,ila kuna ma ex wengine ukiwaangalia tena ur like WTF was i doing in that rlship??...
Mi misukosuko ya kimapenzi naona inanisaidia kujiendeleza na maisha kwa bidii na furaha zaidi cz nmejifunza kutoku-expect sana from people
 
Ni wweli badiebey umesema kweli. Ila mwe............... mapenzi, aliyeyagundua alikuwa na yake kwa kweli..... ndo nini sasa hivi?
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.

Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.

Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.

Inabid kumpunguzia maumivu mwenzako kwa kuanzia mbali..... inauma sana.
 
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.

Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
Ukitaka kupata ujuzi wa kuacha......... fumania
 
Nimelazimika kuifungua hii thread ili kufahamu wengine waliwezaje, all in all nimeona kwamba jambo hili ni gumu saana kwakweli.... namwomba Mungu anisaidie nivuke salama.!!!!
 
Mkuu hyo falsafa yako labda ktk fake love..... bt kama mtu ali fall completely, seriously sio rahisi to let go.
It takes sometimes a life time to forget someone......na wakati mwingine watu huchanganyikiwa na hata kuwa vichaa kwa ajili ya kuachana, mkuu acha kabisa hii kitu......
 
Na ndicho kipindi ninachopitia, najaribu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye nilimpenda kwa dhati ya moyo wangu, najikuta nashindwa. Daah, ni ngumu aiseee
 
Nimelazimika kuifungua hii thread ili kufahamu wengine waliwezaje, all in all nimeona kwamba jambo hili ni gumu saana kwakweli.... namwomba Mungu anisaidie nivuke salama.!!!!
LEARNED BROTHER pole sana.... ipe muda maana they say and it is true tgat time heals.... give it time my dear.
 
Last edited by a moderator:
ni ngumi sana km mtu ulimpenda totally,ndo maana mimi mpaka sasa kuna binti naendelea kumfukuzia japo nimeshaoa,nilimpenda sana
 
nadhan mapenz y kwel yalikuwag enzi hizooo. siku hz n kudanganyana mby. ku let go n ngumu ila ukishindan na moyo n rahc japo kuumia iz ther. ya nn kungangania pnz usilotakwa. ukishawaz ivo lzm upate nguv mpya n ku surrender
 
Back
Top Bottom