Inaelekea humu ndani watu wengi sana ni majeruhi wa mapenzi....
Mwe...!
tupo wengi kwakweli!kama me ndo kwanza jeraha bichiiiii kabisa!!!yaani kuachwa tena pasipo sababu yoyote kuna umiza kuliko maelezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea humu ndani watu wengi sana ni majeruhi wa mapenzi....
Mwe...!
Inaelekea humu ndani watu wengi sana ni majeruhi wa mapenzi....
Mwe...!
Ni wweli badiebey umesema kweli. Ila mwe............... mapenzi, aliyeyagundua alikuwa na yake kwa kweli..... ndo nini sasa hivi?ts part of growing up,japo inauma it may change ur life for good forever,ila kuna ma ex wengine ukiwaangalia tena ur like WTF was i doing in that rlship??...
Mi misukosuko ya kimapenzi naona inanisaidia kujiendeleza na maisha kwa bidii na furaha zaidi cz nmejifunza kutoku-expect sana from people
Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.
Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.
Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.
Ukitaka kupata ujuzi wa kuacha......... fumaniaKinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.
Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
Ukitaka kupata ujuzi wa kuacha......... fumania
Ukitaka kupata ujuzi wa kuacha......... fumania
Nipe experience@charmingladyWewe subutu.... Mie niliwahi kufumania ndio mapenzi yakazidi maradufu. Tena ilikuwa live bila chenga!!
Nipe experience@charminglady
LEARNED BROTHER pole sana.... ipe muda maana they say and it is true tgat time heals.... give it time my dear.Nimelazimika kuifungua hii thread ili kufahamu wengine waliwezaje, all in all nimeona kwamba jambo hili ni gumu saana kwakweli.... namwomba Mungu anisaidie nivuke salama.!!!!