Mkuu acha Presha kwani Forever living ina tatizo gani?Usije anza leta habari za Forever Living and the likes hapa.
Ongelea Leverage kama Leverage na Forms and Types of Leverage and How One Can Apply it.
Ila Usilete Michongo ya Network Marketing Hapa.
Karibu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu acha Presha kwani Forever living ina tatizo gani?
Kibongobongo dah...!nimeelewa...uaminifu je??quality ya kazi? Perfomance ya kazi??
Bana We [emoji38][emoji38][emoji38]
Lazima uwepo eneo la site. Mwa Mwi Lasivyo Utafurahi Nakuambia. Tehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi umerudi kule kule....! On a serious note haya mamboni ngn sana Africa!...i wish ningepata hivi!dah
I kno how leverage works..
Nimekuja kugundua watu wengi kwenye kwenye biashara hatupigii hesabu ya wizi mdogo mdogo wa wafanyakazi kama part of Miscleneous Expenses / Losses ndio maana tunaishia kuugua pressure na kuumizwa vichwa why biashara haziendi....
Sema still bila kuwepo eneo la biashara often hiyo biashara sio yako. I wish ningejifunza kwa undani kina Bakhressa na Mengi walianza anza vipi wakavuka hichi kihunzi ( in a street smart way) hatimae wakajenga empires.
Hamna kitu kigumu duniani kama kuwa mfanyabiashara. Acheni Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani km mtu huna biashara hiwez eleweka kwa hiki ulichoandika ..!..mie had nahisi somtym ntapata msongo wa mawazo...unashindwa kutoka ukitka tu hesabu hasara ya pesa nyingi...!lakini wachaga wanauafadhari sana..kabila nyingine anakupiga anaenda kuongeza mke....kuna platform kenya mie naifatilia sana kidg ntaweza kuamua naendeshaje mishe zangu
ni heri uweke mchaga mjanja aongeze income lkn lazima nikupige..kuliko uweke mjinga ambaye hatakupiga lkn atakuwa anakuingiza loss kwa uzembe. hata mia siachi aisee. hata ukifunga cctv camera kote, labda uwe vzuri kwenye stock controll...ukinibana sana mteja akija naenda chukua mali duka lingine...hyo inaitwa kupeperusha bendera
We acha tu..Aaah hzo mambo zipo sanaa...ndio unakuja shangaa kijana wako wa dukani kariakoo huko kwao wana muita tajiri unashindwa elewa. Wapo wengi tu nawajua walianza kazi maduka ya ndugu zao saa hivi wana maduka yao yamejaa mali nyingi tu.
Hahaha
Sent using Iphone 11 Pro Max
Kibongobongo dah...!nimeelewa...uaminifu je??quality ya kazi? Perfomance ya kazi??
Smart people hire the smart people than he is.Hii ni moja ya kanuni yangu kubwa Katika kuongeza mfanyakazi, mfanyakazi lazima awe mwelevu kuliko Mimi ila mimi lazima niwe Bora Katika kumsimamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana alikabidhiwa gest na mshua sasa hv ana gest 2mafinga! Imagine!