The Power of Levarage

The Power of Levarage

kuna kuiba bila kumtia hasara boss, hauibi mauzo ila unafanya biashara ndani ya biashara ya boss. kuna faida sana kuajiriwa kwenye biashara ya mtu kuliko kuajiriwa maofisini.

Yy alikua fala tu...ameiba sana..mauzo kwa siku anaweza sema amepata 150k.. Au aseme 90000/ na hapo kuna vyumba zaidi ya 20! Gest iko sehem nzuri sana mafinga sema tajiri yake ni mtu asojali ..mm ningelala naye mbele vby sana!...inakera sana
 
Mi mwenyewe sielewi inakuwaje hii, nilifanya kazi kwenye dula la kuuza vocha la dingi mdogo miaka hiyo mwanzoni mwa 2000 ndo huduma ya simu za mkononi zinaingia ingia, nilikuwa nalala mpaka na 20k kwa siku na wala jamaa hakuwa anashtuka, haya mambo kazi kweli kweli, ila nimejifunza nikieka mtu lazima nikae nae mguu sawa.
 
😅😅..inauma...mie kila nikitqka walau kwenda kupumzika hom kuna kasauti kananiamba ss hv utapigwa parefu..yaan unaibiwa had unakaa chini huwez nyanyuka dah...!mazingirw ya biashaera kwa Tz ni bora ujitoe mwili na akili mwenyewe! Bora ujitese tu
 
Hiyo leverage inayozungumziwa hapa kibongo bongo ni uchague mawili, ukubali kuibiwa wengine wakusaidie, au ukomae ujichoshe mwenyewe. Ukiweza bora upambane na hali yako.
 
Mie nimeshindwa ntapambana tu hadi kieleweke....! Kuna jitu nililiweka kwenye mikopo kifupi yy ndo akawa anatoa hela yake anaingiza kwwnye mzunguko wa kukopesha..so km una watu 500watu 100 wake🤧🤧!
 
Vyote vyote tu .amekaa 10yrs...ameacha mwenyewe ..!

Huyu sasa ndio anajua maana ya ku leverage
Ndani ya miaka kumi amefanya kazi na mzee, bila mzee kugundua kama anaibiwa mwisho wa siku na yy anakua boss
Ametumia vzr ile idea ya kutumia pesa za watu wengine
 
Tulikua tunajua tunapigwa as hatupo tena huko so wakawa wamechill tu had kaaga mwenyewee! Ila hakua na makuu

Huyu sasa ndio anajua maana ya ku leverage
Ndani ya miaka kumi amefanya kazi na mzee, bila mzee kugundua kama anaibiwa mwisho wa siku na yy anakua boss
Ametumia vzr ile idea ya kutumia pesa za watu wengine
 
Leverage

Ni uwezo wa kutumia "rasilimali za watu" ambazo kimsingi wewe mwenyewe huna uwezo wa kuzimudu kujiingizia kipato.

Wengine wanaenda mbali na kusema uwezo wa kupiga mpunga mrefu kwa kutumia nguvu kidogo.

Leverage imegawanyika katika makundi mbalimbali, lakini kwa sehemu kubwa inaanguka katika makundi manne..

#1. Uwezo wa kutumia pesa za mtu kujiingizia kipato.

Mfano; ni pale mtu anataka kuanzisha biashara lakini mtaji hana au mdogo, then anaamua kuandaa proposal ya kuishawishi benki wampatie pesa za watu zilizoko benki azitumie kuendesha biashara yake na kujiingizia kipato.

#2. Uwezo wa kutumia muda wa mtu kujiingizia kipato.

Mfano, ni pale mafanikio ya biashara yako yana uhusiano wa moja kwa moja na idadi ya masaa.. So unatafuta watu wasio thamini muda wao unawapa kazi. Hence you make more unlike ungefanya mwenyewe. Azam na biashara ya ukwaju.

#3. Uwezo wa kutumia nguvu za watu kujiingizia kipato.

Mfano, ni kwa biashara ambazo mafanikio yake yanategemea work done. Ukifanya mwenyewe work done kidogo you make less. Ila ukitafuta vijana wenye nguvu zao zisizo na kazii work done inaongezeka and you make more.. Viwanda vya tofali.

#4. Uwezo wa kutumia skills and knowledge za watu..

Mfano, kuna watu wameanzisha biashara ambazo zinahitaji skill set fulani ingawa wenyewe hawana hizo skills. So wanatafuta wenye skills wanapiga hela.

N.k... Technology, Sera,...

NB; Imekaa kinyonyaji lkn ndio maisha.
 
Leverage

Ni uwezo wa kutumia rasilimali za watu ambazo kimsingi wewe mwenyewe huna uwezo wa kuzimudu kujiingizia kipato.

Wengine wanaenda mbali na kusema uwezo wa kupiga mpunga mrefu kwa kutumia nguvu kidogo.

Leverage imegawanyika katika makundi mbalimbali, lakini kwa sehemu kubwa inaanguka katika makundi matatu..

#1. Uwezo wa kutumia pesa za mtu kujiingizia kipato.

Mfano; ni pale mtu anataka kuanzisha biashara lakini mtaji hana au mdogo, then anaamua kuandaa proposal ya kuishawishi benki wampatie pesa za watu zilizoko benki azitumie kuendesha biashara yake na kujiingizia kipato.

#2. Uwezo wa kutumia muda wa mtu kujiingizia kipato.

Mfano, ni pale mafanikio ya biashara yako yana uhusiano wa moja kwa moja na idadi ya masaa.. So unatafuta watu wasio thamini muda wao unawapa kazi. Hence you make more unlike ungefanya mwenyewe. Azam na biashara ya ukwaju.

#3. Uwezo wa kutumia nguvu za watu kujiingizia kipato.

Mfano, ni kwa biashara ambazo mafanikio yake yanategemea work done. Ukifanya mwenyewe work done kidogo you make less. Ila ukitafuta vijana wenye nguvu zao zisizo na kazii work done inaongezeka and you make more.. Viwanda vya tofali.

N.k... Technology, Sera..

NB; Imekaa kinyonyaji lkn ndio maisha.

Nimeelewa zaidi...bas matycoon ndo wanaitumia sana hii ..sio mbaya
 
Nimekuelewa sana!dah...jinsi ya kumpata huyo smart sasa[emoji1][emoji1]
Bizness ina watu wa aina mbili
1.Ndege, 2.Chura.

1.Ndege.
Ni watu wenye visiona na maono ya mbali. Anafahamu na kuona kwa mbali kuwa ule ni msitu, umeanzia hapa na kuishia pale.

Ndege huona hata nje ya msitu, huona bahari, hayupo limited na wapi anaona. Na vision zake huenda fasta sana.

Hujua vitu vingi sana, kwa kidgo kidgo. So utajua masoko, huduma nzuri kwa wateja, kuhifadhi fedha, uongozi nk

2.Chura.
Huwa ardhini, hawaoni pori lote kiujumla, hawaoni bahari wala nin, wanachokiona kipo limited. Lakini kile wakionacho mbele ukifahamu kiundani sana kuliko ndege.
Kama ni pori, akiona mti mmoj mmoja. Anajua ukubwa wake, mizizi yake na taarifa zote kiujumla, kuhusu mti

Sasa utakuta chura huyu anajua ujenzi, ni fundi mzuri, mchoraj mzuri, mkulima mzuri, lakina hana ujuzi na skillz zingine hana maono mengi.

Ila sasa akiwa na ndege akamuongoza, ndege huweza chukua chura kutoka miti tofauti tifaut, wenye taarifa za kutosha akatengeneza combo moja matata sana. Ikawa biashara kubwa.

So, usikomae kutafuta ujuzi mmoja, jua vitu vingi kwa kidgo kidgo, then utaanza kutafuta mtu anayejua sana kitu kimoja wapo kiundani, then Ona mbali jinsi ya kumtumia.

Mmiliki saluni, hajui kunyoa, lakini anajua taarifa nyingi kuhusu saluni, akamtafuta mjuzi wa kunyoa akajua kumtumia.

Mtaalamu wa upasuaji ni chura, mmiliki wa hospital ni ndege. Cheza na hizo mbinu mzeee
 
Leverage

Ni uwezo wa kutumia "rasilimali za watu" ambazo kimsingi wewe mwenyewe huna uwezo wa kuzimudu kujiingizia kipato.

Wengine wanaenda mbali na kusema uwezo wa kupiga mpunga mrefu kwa kutumia nguvu kidogo.

Leverage imegawanyika katika makundi mbalimbali, lakini kwa sehemu kubwa inaanguka katika makundi manne..

#1. Uwezo wa kutumia pesa za mtu kujiingizia kipato.

Mfano; ni pale mtu anataka kuanzisha biashara lakini mtaji hana au mdogo, then anaamua kuandaa proposal ya kuishawishi benki wampatie pesa za watu zilizoko benki azitumie kuendesha biashara yake na kujiingizia kipato.

#2. Uwezo wa kutumia muda wa mtu kujiingizia kipato.

Mfano, ni pale mafanikio ya biashara yako yana uhusiano wa moja kwa moja na idadi ya masaa.. So unatafuta watu wasio thamini muda wao unawapa kazi. Hence you make more unlike ungefanya mwenyewe. Azam na biashara ya ukwaju.

#3. Uwezo wa kutumia nguvu za watu kujiingizia kipato.

Mfano, ni kwa biashara ambazo mafanikio yake yanategemea work done. Ukifanya mwenyewe work done kidogo you make less. Ila ukitafuta vijana wenye nguvu zao zisizo na kazii work done inaongezeka and you make more.. Viwanda vya tofali.

#4. Uwezo wa kutumia skills and knowledge za watu..

Mfano, kuna watu wameanzisha biashara ambazo zinahitaji skill set fulani ingawa wenyewe hawana hizo skills. So wanatafuta wenye skills wanapiga hela.

N.k... Technology, Sera,...

NB; Imekaa kinyonyaji lkn ndio maisha.
Kula like buku.. Mzeee
 
Bizness ina watu wa aina mbili
1.Ndege, 2.Chura.

1.Ndege.
Ni watu wenye visiona na maono ya mbali. Anafahamu na kuona kwa mbali kuwa ule ni msitu, umeanzia hapa na kuishia pale.

Ndege huona hata nje ya msitu, huona bahari, hayupo limited na wapi anaona. Na vision zake huenda fasta sana.

Hujua vitu vingi sana, kwa kidgo kidgo. So utajua masoko, huduma nzuri kwa wateja, kuhifadhi fedha, uongozi nk

2.Chura.
Huwa ardhini, hawaoni pori lote kiujumla, hawaoni bahari wala nin, wanachokiona kipo limited. Lakini kile wakionacho mbele ukifahamu kiundani sana kuliko ndege.
Kama ni pori, akiona mti mmoj mmoja. Anajua ukubwa wake, mizizi yake na taarifa zote kiujumla, kuhusu mti

Sasa utakuta chura huyu anajua ujenzi, ni fundi mzuri, mchoraj mzuri, mkulima mzuri, lakina hana ujuzi na skillz zingine hana maono mengi.

Ila sasa akiwa na ndege akamuongoza, ndege huweza chukua chura kutoka miti tofauti tifaut, wenye taarifa za kutosha akatengeneza combo moja matata sana. Ikawa biashara kubwa.

So, usikomae kutafuta ujuzi mmoja, jua vitu vingi kwa kidgo kidgo, then utaanza kutafuta mtu anayejua sana kitu kimoja wapo kiundani, then Ona mbali jinsi ya kumtumia.

Mmiliki saluni, hajui kunyoa, lakini anajua taarifa nyingi kuhusu saluni, akamtafuta mjuzi wa kunyoa akajua kumtumia.

Mtaalamu wa upasuaji ni chura, mmiliki wa hospital ni ndege. Cheza na hizo mbinu mzeee

😄😄😄hatimaye leo nimejijua mie ni nani...powerful comment
 
Back
Top Bottom