The Power of Levarage

Mkuu ufafanuzi makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii fikra ya kwamba biashara lazima usimamie mwenyewe mwanzo mwisho ili usiibiwe ndio utajirike itakuchelewesha sana kutajirika.

Binafsi nachofanyaga ni kusimamia kwa muda Fulani ili niwe na idea ya mapato yangu, changamoto za biashara yangu, kujua wapi kwenye mianya ambapo vijana wanapiga then baada ya hapo nakaa pembeni kutengeneza systems zit amazon I were aha kuiendesha hiyo biashara bila ya Mimi kuhusika moja kwa moja kwenye daily operations.

Nikishafanikiwa na hilo basi natumia muda wangu mwingi kuiscale(kuikuza) iyo biashara. Kwenye kuscale ndipo different strategies zinapotumika kukutoa from zero to hero.
 

Kuna biashara na biashara unaweza fanya hizo strategies mkuu...!sio zote
 
Kwa 10 years nafikiri he was fair.Sidhani kama alikuwa Mwizi nafikiri labda hakukuwa na usimamizi mzuri kwa upande wa mmiliki.
Kwanza walikuwa hawapigwi, kama alikuwa anafikisha malengo ndo maana kakaa muda wote huo, suala la yeye kujenga gesti zake ni mbinu zake. Naamini kama angekuwa anawapiga msingemuacha for 10yrs
 
BOX la PRECONCEIVED BELIEFS
Hapana mkuu kilichonifanya ni comment ni jinsi jamaa alivyomwendea direct mtoa mada ,kwamba asizunguke mnazi sana bali aende moja kwa moja kwenye pointi.
 
Hapana mkuu kilichonifanya ni comment ni jinsi jamaa alivyomwendea direct mtoa mada ,kwamba asizunguke mnazi sana bali aende moja kwa moja kwenye pointi.
Mimi ndo mleta mada,Sababu ya kusema kwamba uko kwenye Box ni kwa sababu ya kuwa na conclusions ambazo ni unfounded kwa sababu tu ya mtazamo wako.Katika maisha hii inaweza kukufanya upishane na gari la mshahara au fursa.Lazima tujijengee desturi ya kuwa na open mind na kukwepa sana kufanya au kutoa hitimisho kabla ya kuwa na facts kamili.Ni mtazamo wangu tu katika eneo hili ila ningependa zaidi kufahamu uelewa wako kuhusu LEVERAGE na namna ambavyo inaweza kukusaidi kufanikiwa katika maisha yako binafsi na biashara.ATB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…