Iko hivi ukiwa na MOYO safi kama Muumba anavyosema katika Mathayo 5:8 hakuna kiumbe kisichooneka na kinachoonekana kinaweza kaa ndani yako kamwe isipokuwa Muumba maana huo ndo ulikuwa mfumo wa roho na nafsi.
Ufunuo21:3.
Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
Pia unakuwa na jicho la moyo lakuona yote ya sirini bila yeyote kukwambia yaani hakuna hila unaweza fanyiwa bila wewe kujua kabla na baya lolote hugeuzwa kuwa zuri automatically.
Huo Muonekano wako wote ulikusudiwa kuwa Moyo yaani Mema na mazuri peke yake ndani yake na hapo ndipo umilele ulipo.
Adam kabla hajaanguka alikuwa anawezo wa kusema lolote na Muumba akasema ni kweli rejea alipowapa majina wanyama wote,ule ni utukufu alikuwa nao kabla hajaruhusu mabaya(mauti) kuingia moyoni mwake.
Vitabu vya Dini... Vina Mambo.
Watu tofauti wanaweza kufahamu kitu tofauti kutoka kwenye hivyo.
Bado watu walioduniani, kwa wingi wao, hawana 'Moyo Mkuu' wa kubaini asili na ukweli wa hivyo--vimetoka wapi.
Ukweli wake unaweza kushangaza, kama si kushtusha--lakini ndiyo 'maisha yanavyotengenezwa kuwa';
na nani?
Kwa hivyo iwe khabari ya Jinesesia na 'Adamu'... Inawezakuwa ni mambo 'tofauti' na vile yanavyochukuliwa juu juu na 'waumini'.
+++++
Enki, Enlil, Elohim, Anunnaki - Ni akina nani?
Mawasiliano ya Moja kwa moja na Wataygeta wa Pleyadesi
Swaruu: From our information, Enki and Enlil were peoples and not individuals. Too bad my sources cannot be cited. But the concept is reliable and it is there, and I will explain it.
Swaruu: kutokea kwenye habari zetu, Enki na Enlil walikuwa ni watu wengi wengi na si mtu mmoja na mwingine. Ni tu vibaya khasa kwamba vyanzo vyangu haviwezi kunukuliwa kimachimbuko yake ya khabari-visomo. Lakini udhanifu ni wenye kuaminika; na uko tu humo humo, na nitayaeleza yakwake.
Gosia: What are your sources?
Gosia: Vyanzo vyako vya khabari ni vipi?
Swaruu: Federation and Taygeta computers records.
Swaruu: Hifadhi-khabari za ngamuzi za Taygeta na Shirikisho.
However, as you have already been told, it is known that those who created the Sumerian Tablets were the same group of people, although earlier, it is true, as those who collected the Old Testament material. Therefore, together with the other data that there are no records of any Enlil or any Enki outside the terrestrial saga, we can conclude with certain reliability that the Tablets were also written with the same double code system that implies that the names are peoples, not directly under those names, and not individuals.
Hata hivyo, kama ulivyopata kuelezwa, inafahamika ya kwamba wale waliovitengeneza Vibao-Khabari vya Kisumeria walikuwa ni kundi la watu walewale, ingawaje mapema zaidi, ni kweli, kuwa ni wale wale waliokusanyisha pamoja matiriali za Agano la Kale. Kwa sababu hiyo, pamoja na data zingine kwamba hakuna kumbukumbu yoyote ya Enlil au yoyote ya Enki nje ya visa na mikasa usoni pa ardhi ya Dunia, tunaweza kuhitimisha shauri, ndani ya kuaminika kwa kiasi fulani, ya kwamba Vibao-Khabari viliandikwa pia na mfumo ule ule wa kode dabali wenye kupelekea maana ya kwamba majina ni watu wengi wengi, siyo kimoja kwa moja kwa majina hayo, na siyo mtu mmoja na mwingine.
What we do have records of is the existence of: Shiva, Anu, Ishtar, Osiris, among others. I cannot prove this to you with data verifiable by you because it is information outside of the Earth.
Tulichokuwanacho kihifadhi ni upatakuwepo wa: Shiva, Anu, Ishta, Osirisi miongoni mwa wengine. Siwezi kulithibitisha hili kwako kwa data za wewe kuweza kujiridhisha kwa kuwa ni khabari zilizo nje ya Dunia.
Some people we still respect insist that Enlil and Enki caused the flood to reset humanity. But this again is full of theological overtones of Enki and Enlil as gods. With “the power” to do that, cause a deluge at will.
Watu wengine ambao bado tunawaheshimu wanasisitiza kusema kwamba Enlil na Enki walisababisha mafuriko ili kuufutilia ukumbukumbu jamii wa kibinadamu--reseti. Lakini hili limejaa vionjo vya kiteolojia vya Enki na Enlil kama Miungu. Wenye 'Nguvu' ya kufanya hivyo, kusababisha gharika kwa nia.
But it does not explain how they did it, making it fall into more theology and misinterpreted myths of gods. We are telling you how the flood happened and it is because of something natural, explainable and predictable, a cosmic event of dis-aster. Disaster.
Lakini halielezi walilifanyaje hilo, kulifanya hili kuangukia kwenye teolojia zaidi na ngano za miungu zilizotafsiriwa vibaya. Tunakuambia ni jinsi gani mafuriko yalitokea na ni kwa sababu ya kitu cha asili, chenye kuelezeka na kutabirika, tukio la maafa ya kikosimu. Maafa.
I do not believe in Enki / Enlil, gods with powers, nor do I believe in test tube genetic manipulation when here I have the answers to how the human limitation has been achieved. Mind control + Matrix frequencies!
Sisadiki katika Enki/Enlil, miungu yenye nguvu, wala sisadiki katika utundu vichupa majaribio, testitubu, wa kuchezea vinasaba, vijinetifu wakati hapa ninayomajawabu kwa shauri la jinsi gani ukomo wa kibinadamu umefanikishwa. Uthibiti wa Uakili + Frikwensi za Matriksi!
According to records on Earth itself, of experts on the subject, not only from here, the name of Enki is given to Akhenaten.
Kwa mujibu wa hifadhi zilizoko Duniani kwenyewe, za wataalam kwenye somo husika, siyo tu kutokea hapa, jina la Enki linapewa kwa Akhenateni.
Why Enki = Akhenaten? Enki is tagged as the good one of the two brothers, right? The one who gives the liberating information to the humans. The one that tells them how to live. The one that gives them ethical bases that separate them from the minor peoples/pagans.
Kwa nini Enki = Akhenateni? Enki ndiye anayepachikwa sifa za kuwa ndiye mwema kati ya ndugu wawili, sivyo? Yule anayewapatia habari za ukombozi wanadamu. Yule mwenye kuwaambia wao waishi vipi. Yule ambaye anawapatia msingi wa maadili/miiko inayowatenganisha na watu wa chini/Wapagani.
Connecting it to other historians, definitive proof has been found that Akhenaten = Moses. As the one who guides the chosen people to their promised land... Israel. So the one who gives them the 10 commandments and gives them ethical bases is Enki. The one who talks to the burning bush. And the one who tells them to stay away from worshiping the bull. The bull is Taurus, the constellation. Tauro. All over the planet, cows and bulls are perceived as the highest animal deity, and in almost all if not all cultures.
Kuliunganisha hili na wanahistoria wengine, umepatikana ufafanuzi hakikisho ya kwamba Akhenateni = Musa. Kama mtu mwenye kuwaongoza watu teule kwenye nchi ya ahadi... Israeli. Kwa hivyo mwenye kuwapa wao amri 10 na kuwapa msingi maadili/miiko ni Enki. Yule mwenye kuongea na kichaka chenye kuwaka moto. Na yule mwenye kuwaambia wao wakae mbali na kuabudu Fahari. Fahari ni Taurusi, ukanda nyota--konstelesha. Tauro. Kuote sayarini, ng'ombe na fahari wanaonekana kutafsirika kama wanyama miungu wa daraja la juu, ni katika karibia kila tamaduni kama si zote.
Akhenaten (Enki) and Ramses II (Enlil), by association - Enlil can be interpreted as Egypt - people of, were brothers, sons of Egypt. That’s why they fought, because of contradicting beliefs. Akhenaten liberated or “gave” liberating knowledge to “humans” (the part of the people of Egypt that followed him) freeing them from the “oppression” of Ramses II (Enlil).
Akhenateni (Enki) na Ramsesi II (Enlil), kwa kufananishiana sura - Inaweza kutafsiriwa Enlil kama Misri, watu wa, walikuwa ndugu, wana wa Misri. Ndivyo kwa nini walipigana, kwa sababu ya masadikifu yenye kusigana. Akhenateni alikomboa ama 'aliwapa' maarifa yenye kukomboa "binadamu"(sehemu ya watu wa Misri waliyokuwa wakimfuatisha) kuwaweka huru na "Ukandamizi" wa Ramsesi II(Enlil).
It can also be said that Enki = People of Israel and Enlil = People of Egypt. Brothers, sons of Egypt both. This predates the Sumerian Tablets.
Inaweza kusemwa kwamba Enki = Watu wa Israeli na Enlil = Watu wa Misri. Ndugu, wote wawili wana wa Misri. Hili linatangulia wakati wa Vibao vya Kisumeria.
Akenaton changes his name to Akhenaten which means “Aten is pleased”.
Akenatoni anabadilisha jina lake kuwa Akhenateni lenye kumaanisha "Ateni Amefurahishwa".
Enlil represents the Egyptian group that follows the god Amon and the entire millennial religious system, and Enki represents the Egyptian group that follows the solar god Aten, the group that follows Moses Akhenaten, the one called Enki, and note that it is used here as an attribute of a person.
Enlil inawakilisha kundi la Misri ambalo linamfuatisha mungu Amoni na mfumo wote wa dini ya maelfu kwa maelfu ya miaka, na Enki inawakilisha kundi la Kimisri ambalo linamfuatisha mungu jua Ateni, kundi ambalo linamfuatisha Musa Akhenateni, yule aitwaye Enki, na tia akilini ya kwamba hilo linatumika hapa kama sura-sifa ya mtu.
The people of Israel in the exodus were nothing more than a group of Egyptians who followed Akhenaten who wanted to impose another creed on them, distancing them from the theological base of Egypt: the Solar cult of Ra. Akhenaten had the opposite cult of Ra, the cult of the black sun. So Enki is translated as the people of Israel.
Watu wa Israeli katika Kutoka walikuwa si chochote zaidi ya kundi la Wamisri waliomfuatisha Akhenateni aliyetaka kuwawekea msimamo wa kimapokeo ya imani, kuwaweka mbali na msingi wa kiteolojia wa Misri: Kundi Kali la Waandama Jua wa Ra. Akhenateni alikuwa na kundi kinyume na Waandama wa Ra, waandama wa jua jeusi. Kwa hivyo Enki inatafsiriwa kama watu wa Israeli.
This symbolizes Ra, the Sun. But there is more hidden there. The people of Israel, Is (Isis), Ra (Anu or the Sun), El (Elohim coming from Enlil).
Hili laifanya alama Ra, Jua. Lakini mengi yamefichika humo. Watu wa Israeli, ni Is(Isis), Ra(Anu au Jua), El (Elohim kutokea kwenye Enlil).
Now I have a simple doubt. The name Akhenaton... is Spanish-irized it seems. Akhenaten is correct. I do not agree with adapting regionally these names because it causes confusion.
Sasa nina shaka moja jepesi. Jina Akhenatoni... laonekana kama limespaniolewa. Akhenateni ni sahihi. Sikubaliani na kuyarekebisha haya majina ili kuendana na eneo moja hata jingine kwa kuwa hili huchanganya akili.
Akhenaten can also be translated as Aten's effective spirit. I see this one more accurate, because Akhenaten claimed the right to be the only one who can connect with the “new” god Aten, Aten himself on Earth. This infuriated the traditionalist Egyptian clergymen and the normal population.
Akhenateni inaweza pia kutafsiriwa kama roho tendaji, yenye nguvu, ya Ateni. Hii naiona ni tafsiri yenye kupatia zaidi, kwa sababu Akhenateni alikamatia haki ya kuwa kwamba ni yule pekee mwenye kuweza kuunganika na mungu 'mpya' Ateni, Ateni mwenyewe Duniani. Hili liliibua hasira za ghadhabu kwa makasisi wa Kimisri na idadi kubwa ya watu wa kawaida.
The problem also with all these Egyptians is that they did not use just one name, they were assigned names for various reasons, from the point of view of the clergy, social status or every time they wanted to pin an attribute on someone or when that attribute is hung on them. Akhenaten is also Amenhotep IV as an “official” name ← but it changes depending on the point of view. Notice the Amen in Amenhotep (Amon is satisfied) - as meaning. That is why he changed his name from Amenhotep to Akhenaten.
Tatizo pia na Wamisri hawa wote ni kwamba hawakuwa wakitumia jina moja tu, walipewa majina kwa sababu mbalimbali, kutokana na namna watazamavyo makasisi, hadhi ya kijamii ama kila wakati walipotaka kugongelea msumari sura-sifa kwa mtu ama pale ambapo sura-sifa zinapotundikwa kwao. Akhenateni ndiye pia Amenhotepu IV kama jina lake "Rasmi"--lakini labadilika kutegemeana na jinsi ya kulitazama jambo. Tia akilini Amen katika Amenihotepu(Amoni ameridhika)--kwa maana yake. Ndivyo basi alilibali jina lake kutoka Amenhotepu kuwa Akhenateni.
It can be interpreted the other way as well, but it is more “stellar” or of stellar knowledge. Enki = the People of Israel or Judaism and Enlil = Race of Elohi of Asterope, Pleiades. Name Elohim comes from them, although on Earth multiple races are thrown into the mix to describe as Elohim. Remember it is associated on Earth, in myth and in Tablet or scrolls (papyrus). So it’s a human association. In space the name Elohim is referring to the races of Asterope, Elohi and Neph. They are found in other places, as in bases or colonies but Asterope is their home planet.
Inaweza kutafsiriwa namna ingine vilevile, lakini yawa ya 'Kimanyotani' ama ya maarifa ya mambo ya watu wa nyota hata nyota ingine. Enki = watu wa Israeli au Uyuda na Enlil = Mbari ya Asterope, Pleyadesi. Jina Elohim laja kutokea kwao, ingawaje Duniani mbali zaidi ya moja hutupiwa kwenye mchanganyiko kueleza kana Elohim. Kumbuka linafananiana kuhusishwa kwake Duniani, katika ngano na katika Vibao-khabari au mikunjurisho(Papirasi). Kwa hivyo ni mfananishiano wa kibinadamu. Kwenye mbingu ya manyota, spesi, jina Elohim linahusishwa na mbari za Asterope, Elohi na Nefi. Wanapatikana pia mahala kungine, kama katika makambi ama makoloni lakini Asterope ni sayari ya nyumbani kwao.
So if you ask if Taygetans, Engans, and others are included in the Elohim category, not in space as it is a completely different species. But be careful here, because on Earth they commonly tend to associate them all together, all star races that were influencing Summer, Babylon, Egypt and all the middle East before the time of Vespasian - Titus (Christ). I mean everything BC. Elohi, Taygetans, Engan, Solatian, all associated as Elohim. Positive reptilian races also have been categorized as Elohim.
Kwa hivyo ikiwa unauliza kama Wataygeta, Waengani na wengine wanajumlishwa kwenye kundi la Elohim, siyo spesini kwa kuwa ni viumbe-unasaba, spishi, vipatavyokuwa ni tofauti kabisa. Lakini uwe muangalifu hapa, kwa kuwa Duniani hufanywa mazoea ya kuwafananishia wote pamoja, zile mbari zote za nyota na nyota nyingine ambazo zilikuwa na ushawishi kwa Wasumeria, Babiloni, Misri na Mashariki ya kati yote kabla ya wakati wa Vespasian-Titus(Kristo). Ninamaanisha kila kitu kabla ya Kristu, KK. Waelohi, Wataygeta, Waengani, Wasolatia, wote kushirikishwa sura na Elohim. Mbari chanya za Kireptilia nazo zimekuwa zikiwekwa kundi moja na Elohim.
....
+++++
ISISI na OSIRISI
Gosia: Osiris and Ishtar were of the Elohim race?
Gosia: Je, Osirisi na Ishta walikuwa ni wa mbari Elohim?
Swaruu: No. They were considered of that race, but partially. But they were not of that race. In itself Elohim as such were the bearded ones in Sumeria. They weren’t giants, they just made them big because they were “big” by attributes not by size.
Swaruu: Hapana, walichukuliwa ni wa hiyo mbari, ila kwa sehemu. Lakini hawakuwa wa hiyo mbari. Kwenye hilo lenyewe, Elohim walikuwa ni wale wenye madevu katika Sumeria. Hawakuwa majitu, waliwafanya "wakubwa" tu kwa sababu ya usifa-sura na si ukubwa wa umbo.
Ishtar as she is painted in history, even the one written by the Egyptians, never existed, the concept of her was based on visitors. Yes, Ishtar and Osiris were people. But the rest is added cream by the ancients themselves because that was done a lot at that time, an example of this is the Greeks and their exaggerations about stories that did happen.
Ishta kama ambavyo unachorwa picha yake kwenye historia, hata yule aliyeandikiwa na Wamisri, hajapata kuwepo, dhana yake ilikuwa na msingi wa wageni. Ndiyo, Ishta na Osirisi walikuwa watu. Lakini mengine ni tamu tamu iliyoongezewa kwa juu na watu wa wenyewe wa zamani kwa sababu hilo lilikuwa likitendeka hivyo sana tu nyakati zile, na mfano wa hili ni Wagiriki, Wayunani, na kutia kwao chumvi kwa visa vilivyopata kutukia.
For example Medusa did exist, but it was not as the Greeks say. Medusa is none other than Ishtar herself again. But it is symbolism taken literally.
Kwa mfano Medusa amepata kuwepo, lakini hakuwa kama Wayunani wanavyosema. Medusa ni mwingine khasa zaidi ya Ishta mwenyewe tena. Ni ualama wa jadi ya mambo kuwekwa kwa sura ya juu juu.
Gosia: And why do Reptilians and Masons use the Ishtar symbol?
Gosia: Je, ni kwa nini Wareptilia na Wamasoni hutumia alama ya Ishta?
Swaruu: Because they are Atonists or worshipers of the Sun, but that comes from the Enki branch. Judaism is not monotheistic, that is false. The followers of Ahkenaten, founders of Judaism, of the “people of Israel”, Enki.
Swaruu: Kwa sababu wao ni Watoni ama kusema waabudu Jua, lakini hilo laja kutokea kwenye tawi la Enki. Uyuda si imani ya mungu mmoja, hilo ni uongo. Wafuasi wa akhenateni, waanzilishi wa Uyuda, wa "Watu wa Israeli", Enki.
And the serpents of Medusa are the symbol of knowledge in the same way that the Taygetans when passing as Evas gave knowledge to Evas. That is why we can assure that the Sumerian Tablets are just one more bible. And people take them as absolute truths. They are structured exactly like the Old Testament Bible. And they use true facts, true events, just with a twist to fit into their agendas to validate what is said as true. Just because something is old does not mean that it is true.
Na nyoka za Medusa ni alama ya maarifa kwa namna ile ile Wataygeta wanaposimama kama akina Hawa--kuwapa maarifa akina Hawa. Hiyo ndiyo sababu tunaweza kuhakikishia ya kwamba Vibao vya Sumeria ni Biblia moja ingine. Na watu huzichukulia hizo kama kweli zenyewe zenyewe khasa. Vimesukwa muundo vile vile kama Agano la Kale la Biblia. Na vyatumia habari za kweli, matukio ya kweli, ila na kupindisha tu hapa na pale ili kufaa agenda zao za kupambia juu juu kile wakisemacho kama ndiyo ukweli. Kitu kuwa cha zamani haimaanishi tu kwamba ni cha kweli.
And the evidence, at least from our point of view, is strongly against what is said in the Sumerian Tablets. Because if they were true... we wouldn’t exist.
Na ushahidi, aghalabu kutokea kwenye jicho letu, unakwenda kinyume sana na kile kinachosemwa kwenye vibao vya Sumeria. Kwa sababu kama vingekuwa vya kusema ukweli... Sisi tusingalikwepo.
I know they say that the Tablets are like 5 thousand years old, I am afraid it is NOT true... they are more recent as we have already said. It ́s just that before Akhenaten and Nefertiti, Enki - Enlil as Ea - Elohi were Egyptian concepts, not Sumerian. But this is already too complicated for the average human mind.
Najua wanasema kwamba vibao vina umri wakupata takribani miaka elfu tano, najisikia vibaya kusema hilo siyo kweli... ni vya siku za karibuni karibuni kama nilivyopata kusema. Ni tu kwamba kabla ya Akhenateni na Nefertiti, Enki-Enlil kama Ea-Elohi zilikuwa dhana za kimisri, siyo Sumeria. Lakini hili tayari ni shauri gumu kwa akili ya binadamu wa kawaida.
Now, the concept of opposing Enlil against Enki, from the Egyptian point of view, is the quarrel between Osiris (Enlil) and Anubis (Enki). Where it is said that between Ishtar and Horus they revive Osiris, the first concept of resurrection, and from where they get the idea for the resurrection of Christ. Base on Egyptian Astro-theology.
Sasa, dhana ya Enlil mwenye kwenda kinyume na Enki, kutokea kwenye jicho la Kimisri, ni ugomvi baina ya Osirisi(Enlil) na Anubisi(Enki). Ambapo husemwa kwamba katikati ya Ishta na Horusi walimuamusha Osirisi kutokea mautini, dhana ya kwanza ya ufufuo, na ndipo kutokea hapa walilipata wazo la Ufufuko wa Kristo. Msingi wa Teolojia-Nyota ya Kimisri.
The human being created on Earth, although I have no way of convincing at the moment, the greatest proof that it is rubbish, is that there are at least 400,000 races almost or identical to humans out there. They cannot and could not have been created on Earth.
Mwanadamu kuumbwa Duniani... Ingawaje sina namna ya kushawishi kuamini tofauti kwa sasa, uthibitisho mkuu kabisa ya kwamba hilo ni shauri takataka, ni kwamba kuna aghalabu mbari 400,000, huko kote nje Dunia, zinazokaribiana kabisa kufanana na binadamu ama kama binadamu kabisa. Wanadamu hawezi na wasingaliweza kuwa wameumbwa Duniani.
With serpent scepters (knowledge including genetics) and Osiris with his erect member as if the two created the human being as the Egyptians say, but they created them as guides, not genetically, although that does transfer to a genetic lineage yes. That’s why the erect member of Osiris being Ishtar ́s partner, they create the world or Egypt as their offspring.
Kwa nyoka-fimbo (maarifa yenye kuhusisha ndani yake ujinetifu) na Osirisi mwenye kiungo chake kilichodinda kana vile hao wawili waliwaunda wanadamu kama Wamisri wanavyosema, lakini waliwaumba kama viongoza njia, si siyo kiujinetifu, ingawaje hilo linahamia kwenye ukoo wa kinasaba – ndiyo. Hiyo ndiyo sababu kwa kiungo kilichodinda cha Osirisi mwenyekuwa mwenza'ke na Ishta, wanauunda ulimwengu ama Misri kama uzao wao.
The problem here for normal people is that it is all a lot of elaborate and intertwined symbolism all the time that even changes meanings when in another context.
Tatizo hapa kwa watu wa kawaida ni kwamba hayo yote, na kwa wakati wote, ni utengenezaji wa alama-jadi uliotengenezewa picha pana na tena wenye kubadilika maana yake katika muktadha mwingine.
Genesis as the Genes of Isis because from there the present humanity is “born”. Born in the literal sense, the people of Egypt are born Circa 10,000 BC. As a result of the intervention of Osiris and Ishtar. For them the Egyptian people began. Not that there were no humans before. And, it happened with someone opposing... Anubis. Anubis himself, as the god of the underworld, is equal to Saturn or the Black Sun.
Jinesesia [Genesis/Gen-Isis] kana kwamba 'jinesi za Isisi' kwa sababu kutokea hapo ubinadamu wa leo 'Umezaliwa'. Umezaliwa kwa tafsiri ya juu juu, watu wa Misri wamezaliwa mwaka 10,000 Kabla ya Kristo. Kama matokeo ya Osirisi na Ishta kuingiliakati. Kwa wao, watu wa Misri ndiyo walianza. Siyo kwamba hakukuwa na wanadamu kabla. Na, ilitokea huku mwingine akipinga hilo... Anubisi. Anubisi mwenyewe kama mungu wa kuzimu, ni sawa sawa na saturn ama kusema Jua Jeusi.
And yes, I accept certain genetic manipulation there done by Ishtar but as a basis for liberation, not for oppression, as a way to counteract the effects of the 3D Matrix already implemented there recently. That’s why I know how it was done, because I was there, and it wasn’t with a test tube.
Na ndiyo, ninakubali namna fulani ya kuchezea ujinetifu ulifanywa na Ishta lakini kwa misingi ya kukomboa, siyo kukandamiza, kama namna ya kupambana na athari za Matriksi 3D ambayo tayari ilikuwa imetekelezwa muda si merefu Duniani. Ndiyo sababu ninajua ilifanyikaje, kwa sababu nilikuwapo pale, na haikufanywa kwa vichupa-majaribio, testi-tyubu.
The topic of genetic manipulation in itself is a whole subject, because there was lab-manipulation and from a number of races, especially Reptilian, back in the Atlantis antediluvian times, and Ishtar also fiddled with genetics directly, but came to the conclusion that mind and population engineering was a better way to go to alter and to cleanse human DNA from mostly limiting Reptilian changes done to them, this to accelerate the natural process of DNA returning to its original print or characteristics.
Mada ya uchezeaji jinesi--uchezaji kijinetifu, wenyewe, ni somo zima lenye kujitegemea, kwa sababu kulikuwa na uchezeaji wa kimaabara; na kutokea kwa idadi kadhaa ya mbari, hususani Wareptilia, siku za nyuma nyakati za Antediluvia Atlantisi na Ishta pia alicheza na ujinetifu moja kwa moja, lakini alifikia kutamatisha shauri ya kwamba uhandisi wa idadi na akili za watu ndiyo njia bora ya kufuatisha ili kugeuza na kuisafisha DNA ya mwanadamu kutokea kwa mabadiliko yenye kubana uwezo wakibinadamu yaliyofanywa kwa sehemu kubwa na Wareptilia, hili kwa ajili ya kuongeza kasi ya mchakato wa asili wa DNA kurejea kwenye sifa zake asilia ama kusema 'ujinetifu printi'.
I know I have been criticized a lot for saying that Enki and Enlil are more of a peoples. This is what happens: the Anunnaki Tablets represent ancient wisdom for humans and that is why they believe them. But from where I am, things look very different and what is in the Tablets differs totally from what is recorded as history not only of my race but of virtually all races of the Federation.
Ninajua nimesemwa sana kwa kusema kwamba Enki na Enlil ni zaidi mtu mmoja na mtu mwingine. Hili ndilo linalotokea: Vibao vya Anunnaki vinawakilisha mashauri ya busara kwa ajili ya watu na ndiyo maana wao huyasadiki. Lakini kutokea hapa nilipo, vitu ni vyenye kuonekana tofuati sana na kile kilichopo kwenye vibao chatofautiana kabisa kabisa na kile kilichohifadhiwa kihabari kama historia--siyo tu watu wa mbari yangu ila pia kana kuonekana vivyo hivyo na watu wa mbari nyingine za Shirikisho.
The Sumerian Tablets were created by the same group of people, although perhaps not the exact same people, I mean their group, who created the Old Testament. And it is structured in a very similar way where it is a set of other stories from various parts of the world all condensed there to serve to validate an agenda. And to a large extent it is coded so that someone without knowledge reads and interprets them in one way and the educated ones in another. It is the same with the Old Testament.
Vibao vya Sumeria viliundwa na kundi la watu wale wale, ingawaje labda si watu wale wale, namaanisha kundi lao, walitengeneza Agano la Kale. Na limetengenezwa kwa muundo wenye kuonekana vile vile ambavyo ni seti ya visa kutokea sehemu mbalimbali za ulimwengu kushindiliwa humo kihabari ili kutumikia mashauri ya kukubalika juu kwa juu kwa agenda. Na kwa sehemu kubwa zipo kwa namna ya kode ili kwamba mtu asiye na maarifa asoma na kutafsiri namna moja na aliye na elimu namna nyingine. Ni vivyo hivyo na Agano Jipya.
As in the case of the Old Testament, historically everything makes more sense if we replace all the names of the characters there with the concept that they are peoples and not individuals. Adam becomes the Adamic people or race (men and women) and Eve also with the race of Eve. Caín and Abel quarreled (the peoples) and married. With whom if there were no more humans? ← annoying question for theologians.
Kama ilivyo kwa utazamaji kisomo kwa Agano la Kale, kila kitu hutengeneza hesabu kihistoria ikiwa majina yote na sifa za wahusika wakuu wa mule vyabadilishwa na dhana ya kwamba ni watu na si mtu mmoja na mwingine. Adamu awa ni 'Watu wa Kiadamu' au mbari(wake kwa waume) na Hawa yawa pia ni mbari ya Hawa. Kaini na Habili waligombana(watu) na walioa. Waliooana na akina nani ikiwa hakukuwa na wandamu? Swali la maudhi kwa Wanateolojia…
(With few exceptions like Moses being Akhenaten himself, ‘a reptile’).
(Ikiwamo mifano michache ya kiutofauti wa pekee kama Musa kuwa Akhetateni mwenyewe, Mreptilia).
It is the same with the Sumerian Tablets. They are better read as peoples and not as characters, I am not making up this information. Hundreds of historians and exo archaeologists of my race, and those of the Federation, conclude that the Old Testament is similar to Sumerian Tablets, at least in intention and structure.
Ipo vivyo hivyo na vibao vya Sumeria. Ni bora visomwe kama watu na siyo mhusika mmoja hata mwingine, sitoi tu kichwani haya yote. Mamia ya wanahistoria wa watu wa mbari yangu walio ni wanavisomo wa mambo ya nje ya Dunia, wa kuchimbua chimbua mambo ya nyuma, na wale wa Shirikisho, wanahitimisha shauri ya kwamba Agano la Kale ni lenye kufanana na Vibao vya Sumeria, aghalabu kwa dhamira yake na muundo.
The Federation and Taygeta have detailed records of that time because of Lemuria that was a Taygetan colony as has already been explained in a video and no one finds who Enki or Enlil were.
Shirikisho na Taygeta wana hifadhi kumbukumbu zilijisheheneza khabari za wakati ule kwa sababu Lemuria --lile lilikuwa ni koloni wa Wataygeta kama ambavyo nimeshapata kueleza katika video na hakuna hata mmoja anayepata kumuona Enki au Enlil walikuwa ni akina nani.
And knowing who the information comes from, exo archaeologists from Taygeta and the rest of the Federation, we conclude that the Sumerian Tablets were created for the same purpose as Old Testament: disinformation and mind control. The concept that these names should be interpreted as peoples and not as individuals is not alien to the Earth because speaking of the Old Testament (only there in this case) this has already been exposed by researchers such as “Michael Tsarion”.
Na kwa kujua ni kutokea kwa nani habari huja zikitokea, wachimbuaji wa mambo ya zamani kutokea Taygeta na wengine waliobaki wa Shirikisho, tunahitimisha ya kwamba Vibao vya Sumeria vilitengenezwa kwa dhumuni lile lile kama agano la Kale: Uzandiki na uthibiti wa Mawazo ya Akili. Dhana kama vile majina haya yangalipaswa kutafsiriwa kama watu na siyo mtu mmoja na mwingine siyo ngeni Duniani kwa sababu kuzungumzia Agano la Kale(humo tu kwa jambo hili kisomo) hili lilishaumbuliwa hadharani na watafiti ka "Michael Tsarion".
Knowing that those who created the Sumerian Tablets were Reptilians and their henchmen... I conclude and declare that all this is Reptilian disinformation. It’s just another “Old Testament”,no more. And this is my data from here. Like it or not.
Kwa kufahamu ya kwamba wale waliotengeneza Vibao vya Sumeria walikuwa ni Wareptilia na vibaraka wao... Ninahitimisha shauri ya kwamba hayo yote ni Uzandiki wa Kireptilia. Ni 'Agano la Kale' jingine, si zaidi. Na hizi ni data zangu kutokea hapa. Uzipende ama usizipende.
I just want to add this on the subject... that I do not discredit the Tablets entirely because in themselves they have very valuable information, as does the Old Testament. But what I share is what I have as information from here. Like it or not, there is no corroboration outside of Earth, that’s my only point. Ergo: to the other “star” races the Sumerian Tablets are just like a pre-Old Testament bible and more reptilian misinformation.
Ninataka tu kuliongezea hili kwenye kisomo... kwamba siondoi kabisa kabisa uthamani wa Vibao kwa sababu ndani ya vyenyewe kuna taarifa/khabari zenye kuweza kuwa na thamani, kama ilivyo tena kwa Agano la Kale. Ninachoshiriki shauri ni ile khabari nilikuwa nayo kutokea hapa. Uipende ama usiipende, hakuna mashauri yenye kuunganisha na kukazia nguvu ya ukweli wake nje ya Dunia, hiyo ndiyo wazo langu la mkazo. Ergo: kwa watu wa mbari nyingine za 'nyota hata nyota' vibao vya Sumeria ni kama vile Biblia ya wakati wenye kutangulia ule wa Agano la kale na zaidi upashaji taarifa zilizopotoshwa wa Wareptilia.
My job is to share what I see and what is known here, and it is that. The Tablets have no validity, being corroborated with stellar information. Stellar information that I accept that I cannot corroborate for you. But, if I give corroborable information by you in hand, then you accuse me of only saying what is already on Earth. If I give new information, then what I say “is very crazy.”
Kazi yangu ni kushiriki mashauri ya ninachokiona na kinachofahamika hapa, na ndiyo hivyo. Vibao havina uthibitisho wa ukweli wake khasa, kuwa kwamba kushiriki nguvu ya ukweli wake kwa taarifa za mambo ya nyota moja hata ingine. Taarifa za kinyota hata nyota nilizonazo, ambazo siwezi kushirikishia nguvu ya ukweli wa mambo kwa ajili yenu. Lakini, ikiwa ninaweza kuwapa habari mnayoweza kushirikishia ukweli wake wa mambo ndani ya mikono yenu, basi mnanitia hatiani kwa kuyasema yale yale tu yaliyoko Duniani. Ikiwa ninawapa taarifa mpya, basi ninayoyasema "ni uendawazimu sana".
An extra important comment on the subject of Enki / Enlil, Anu and others: It is known that in other parts of the Earth very far from Sumer there are also texts that corroborate the existence of these characters. An example of this is in the Popol Vuh but it seems to me not only.
Neno moja muhimu sana la ziada kwenye kisomo cha Enki/Enlil, Anu na wengine: Inafahamika kwamba sehemu nyingine za Dunia mbali kabisa ya Sumeria kuna maandishi yenye kushiriki shauri la nguvu simulizi la hawa wawili. Kwa mfano Popol Vuh lakini kwangu si tu haya.
What happens here is that the Anunnaki or Reptiles had access to the whole world and going from Sumer to Meso-America in a ship does not mean for them more than a journey of a few minutes. Their agenda was to control most of the population and logically they spread their information in all possible places. It must be remembered that they had a planetary civilization and not restricted only to the area of Sumeria.
Kinachotokea hapa ni kwamba Anunnaki au tuseme Wareptilia wanaweza kuufikia ulimwengu wote mzima; na kwenda Meso-Amerika wakitokea Sumeria katika vyombo vya kiuchukuzi hakumaaanishi safari ya zaidi ya dakika kadhaa. Agenda yao ilikuwa ni kuthibiti sehemu kubwa ya idadi ya watu na kimantiki walisambaza taarifa khabari zao kokote kwenye kuwezekana. Inapaswa kukumbuka walikuwa na sivilai ya kisayari nzima na hawakubanwa kiuwezo wao utendaji wao na eneo moja tu la Sumeria.
The Sumerian culture and its language were not the oldest, first because Egypt predates them by something like 5000 years, although this would never be accepted by Cabal historians who represent Egypt as a civilization up to 7 thousand years younger than it is. Examples of this are the pyramids and the Sphinx which are dated to around 3500 BC when they are over 12,500 years old.
Tamaduni ya Kisumeria na lugha yake havikuwa vya umri mzee kuliko zote, kwanza ni kwa sababu Misri imetangulia hayo kwa kitu kama miaka 5000, ingawaje hili kamwe halitakubaliwa na Wanahistoria wa Kabal wenye kuiwakilisha mbele Misri kama sivilai ya kupata kufikia miaka elfu 7 ya umri mchanga kuliko ilivyo halisi. Mfano wa haya ni Mapiramidi na sfiniksi kupewa tarehe ya kuanza kuwepo kuwa kama mwaka 3500 KK na hali yanazaidi ya umri wa miaka 12,500.
As Egypt is opposed to the Cabal and its interests, they have looted, monopolized, distorted and erased the vast majority of its history, degrading it from its true historical cultural value, but above all they have dated Egypt, and everything that happens within, as more recent, younger, than it is or was.
Kwa kuwa Misri inapingana na Kabal na maslahi yake, wameipukutisha, kuitawala kinguvu ya masoko ya khabari ama ushawishi, kuharibu ukweli wa sura ya mambo yake na kufuta sehemu kubwa ya historia yake, kuishusha hadhi kutoka kwenye thamani yake ya kweli ya kiutamaduni, lakini kupita yote wameipa tarehe ya kupata kuanza kwake, na kila kitu kilichotokea ndani yake, kama kitu cha siku za karibuni, changa zaidi kiumri, kuliko ilivyo ama tuseme ilivyokuwa.
....
+++++
....
Kila piramidi linatengeneza alama ya miungu-ibada watatu. Ea-Anu-Enlil na hivi – ni hizi nyota 3:
I know the pyramids align with Orion but they weren’t built for Orion. These 3 stars are clearly written in Egyptian hieroglyphics as the basis of civilization and its origin for them. By contrasting it with star maps of Taygeta we find that they, the Elohi, had bases there.
Ninafahamu mapiramidi yanamkao wa kujipangilia kuelekeana na Orioni lakini hayakujengwa kwa ajili ya Orioni. Nyota hizi tatu zimeandikwa wazi wazi kwenye hiroglifu za Misri kama msingi wa usivilai na uasilia wake kwa wao. Kwa kupandishia picha ya kufananishia hiyo na ramani manyota ya Taygeta, tunakuta ya kwamba wao, Elohi, walikuwa na kambi kadhaa pale.
Gosia: But one thing please. I had understood that the Elohi race of Asterope were Pleiadians, some with Reptile souls.
Gosia: Lakini kitu kimoja tafadhali. Nimeelewa ya kwamba watu wa mbari ya Elohi wa Asterope walikuwa Wapleyadesi, wengine wenye sonafsi za Kireptilia.
Swaruu: The same species one within another in the same way that a Kingu can use a human body, however not all humans are Kingu. It depends on the plane of existence.
Swaruu: Jamii ile ile moja ya unasaba ndani ya nyingine kama namna ile ile ambavyo Kingu wanaweza kuutumia mwili wa mwanadamu, japo siyo kwamba wanadamu wote ni Kingu. Inategemea na mapana ya uwepo kwa namna-utu.
Not only humans are containers for multiple races. But what one species does is not the same as what the other does even though the container is the same in appearance. So this grows in complexity and is difficult to follow without all the data on the table.
Siyo binadamu tu ndiyo vibebeo vya utu wa watu wa mbari zaidi moja. Lakini kile ambacho watu wa unasaba mmoja wanakifanya si kile kile kama ambacho mwingine afanya hata kama kibebeo ni kile kile kwa muonekano. Kwa hivyo hili lazidi kuwa tata na ni vigumu kulifuatilia pasipo data zote kamili mezani.
Some Reptiles (in their physical look), the others Anthropomorphic (the bearded ones of Sumeria). Like Hillary Clinton and the Queen of England. They look human but inside they are Lizards. Note that they say that the Annunaki were Reptilians, however they represent them with humanomorphic but large bodies.
Baadhi Wareptilia (kwa muonekano wao wa kimaumbile), na wengine wa kiAnthromofu(Wenyemadevu wa Sumeria). Kama Hillary Clinton na Malkia wa Uingereza. Wanaonekana wanadamu lakini kwa ndani wao ni mijusi. Tia akilini ya kwamba wanasema kuwa Anunnaki walikuwa Wareptilia, japo wanawawakilisha kisura ya picha na maumbile ya kibinadamu lakini miili mikubwa.
Gosia: And why the trinity? And why so much symbolism?
Gosia: Na Je, kwa nini Utatu? NaJe, kwa nini Ualama alama mwingi?
Swaruu: There are many reasons, the main one being that it can only be read properly by people with the right preparation. In other words, because information is power and correct information can only be given to the worthy. The Bible, New and Old Testaments are written this way. From one level something is understood, from another, something else is understood.
Swaruu: Kuna sababu nyingi, moja kubwa ni kuwa ya kwamba inaweza kusomwa kwa usahihi na watu wenye maandalizi sahihi tu. Kwa maneno mengine, kwa kuwa taarifa/khabari ni nguvu na taarifa sahihi yaweza kupewa kwa wenye kustahiki. Biblia, Agano la Kale na Jipya vimeandikwa namna hii. Kutokea kwenye usawa fulani wa daraja la kiutambuzi kitu fulani kinaeleweka, kwenye mwingine, kingine kinaeleweka.
Gosia: But I still don’t understand why so much effort mounting so much symbolism. Because even you have to go and examine and decipher sometimes. So why so much coding of things? Why couldn’t things be stated as they are? So much symbolism messes things up.
Gosia: Lakini bado sielewi kwa nini jitihada kubwa inawekwa juu ya ualama mwingi. Kwa sababu hata wewe inakupasa kwenda na kupima pima ukweli wa jambo na kufumbua vitu kialama. Sasa kwa nini kode nyingi nyingi kwa vitu? Kwa nini isiwezekane vitu visemwe tu kama ilivyo? Ualama mwingi unavuruga mambo.
Swaruu: You must realize that the symbolism itself is a language and quite complete. It is ancient and gave basis to Egyptian writing based on glyphs or pictograms. It is a language. You have to speak it or you won’t understand.
Swaruu: Inakupasa kutambua Ualama wenyewe ni lugha na iliyokamilika tu. Ni ya kale na ndiyo iliweka msingi wa maandishi ya Kimisri yenye msingi wa glifu ama vipicha-khabari. Ni lugha. Inakupasa uizungumze ama sivyo hauwezi kuielewwa.
The bull symbolizing Taurus the constellation is thousands of years old, pre-Tiamat. From a direct point of view, pictograms and symbolism is a more reliable and transparent form of communication and data recording than the written word which is open to misinterpretation.
Fahari mwenye kufanya ualama wa Konstelesha Taurusi ina umri wa miaka melfu kwa maelfu, kabla ya kipindi cha Tiamati. Kutoka kwenye jicho la kuona moja kwa moja, vipicha-khabari na ualama ni vyenye kuaminika zaidi na namna ya mawasiliano iliyowazi na uhifadhi wa khabari kuliko neno la kuandikwa kitu ambacho kikowazi kutafsirika vinginevyo na ukweli.
Gosia: Yes, but if you don’t speak this language, you don’t understand. Everything camouflaged. I honestly understand very little symbolism. But I understand that it is a language.
Gosia: Ndiyo, lakini ikiwa hauizungumzi hii lugha, hauielewi. Kila kitu kimefunikwa kwa chakubaraguzia. Kusema ile kweli kabisa ninaelewa kidogo sana ya ualama alama. Lakini ninaelewa kwamba ni lugha.
Swaruu: Ok, example to clarify in passing: you enter from a black hole in the constellation of Andromeda and exit from the sun. But if you ENTER through the sun, you come out behind TAURUS. Wormhole entrance coming out of the sun: M33 ← Right there. They leave there and they enter here.
Swaruu: Sawa, mfano wa kuweka bayana pitio la undani: unaingilia kutokea kwenye tundu jeusi katika konstelesha ya Andromeda na kutokea nje kutoka kwenye jua. Lakini ikiwa UNAINGIA kupitia jua, unatokezea nyuma ya TAURUSI. Ingilio tundu-unyoo lijitokezalo nje kutokea kwenye jua: M33<--Hapa hasa. Wanaondoka pale na kuingia hapa.
And going back to the pyramids, that’s what they were for, to open portals using only the power of people’s minds. At that level, the mind is that powerful when it is free and amplified. You don’t need portals like CERN. Just your mind ←
Na kurudi kwenye Piramidi, hicho ndiyo hayo yalitengenezwa kwa ajili yake, kuyafungua malango(potali) ya masafa ya kusafiri kimanyota kwa kutumia akili za watu peke yake. Katika usawa wa ngazi hiyo ya kiutambuzi, akili ni yenye nguvu khasa ya kutenda iwapo huru na kukuzwa nguvu ya pumzi yake. Hahuhitaji malango kama CERN. Akili yako tu <--.
Gosia: They were to get out of bodies and travel, yes?
Gosia: Je, iliwapasa kutoka nje ya miili yao na kusafiri, ama sivyo?
Swaruu: Yes. But it is only a body. In the astral you have another.
Swaruu: Ndiyo, Lakini ni mwili tu. Kwenye ulimwengu wa astrali unao mwingine.
Gosia: But why so big, the pyramids?
Gosia: Lakini kwanini ni makubwa khasa, Mapiramidi?
Swaruu: Because they work even better that way because of the energy potential they could generate.
Swaruu: Kwa kuwa yanafanyakazi vema zaidi kwa kuwa kwake namna hiyo -- kwa sababu ya uweza wa kiunishati yawezayo kuufua.
As I was saying to Robert... The reason why they are on planetary ley lines and on large aquifers (in this case it connects with the Nile), is because they use the difference (differential of electrical charge) of voltaic polarity between the ground and the atmosphere, clouds and stratosphere creating a continuous and controlled flow of electrical energy for practical uses.
Kama nilivyokuwa nasema kwa Robert... Sababu za kwa nini yako kwenye mistari lei ya kisayari na juu ya machimbo ya maji ya ardhini, akwafa(kwa sura hii ya kutathmini ukweli wa jambo -- ndiyo kusema kuunganika na mto Naili), ni kwa kuwa hutumia utofauti(makadirifu ya mapishano ya kasi ya kufanyika chaji za kiumeme) wa ncha za pumzi ya umeme, kivolti, kati ya nchi na mapana ya anga la hewa, mawingu na stratofia vifanyavyo unishati wa umeme uliotiririfu pasi kukatika nguvu zake na uliothibitiwa kwa ajili ya matumizi yenye kukusudia matokeo ya namna zake.
This flow causes a torrent that is secondary. Torrent that develops a specific frequency that potentiates the human or people’s mind and aura with the principle of constructive interference. This causes the people inside the pyramids to have vastly increased psychic abilities of all kinds.
Huu utiririko husababisha mbubujiko wa nguvu ulio ni upili. Mbubujiko ambao huleta mtengenezo wa frikwensi mahsusi zenye kujaza, watu ama akili za watu; na aura--nuru ya utu, uwezo wa kufanyakazi kwa kanuni ya matendo ya maiingiliano ya unishati unaojenga. Hili husababisha watu waliondani ya mapiramidi kuwa na nguvu za kila namna za kisaikia zilizoongezeka sana.
Robert: Would the other pyramids in Bosnia and China, for example, fulfill the same function? And the Latin America ones?
Robert: Je, mapiramidi mengine kule Bosnia na China, kwa mfano, yangaliweza kutimiza kazi hiyo hiyo? na Je, ya Amerika ya Ulatino?
Swaruu: Yes, the same function with a different approach. But the pyramids also served to give birth to babies and also served so that a dying person had a dignified death and their soul ascended to the Cosmos amplified and without problems.
Swaruu: Ndiyo, kazi ile ile kwa namna tofauti ya kuliendea jambo. Lakini mapiramidi yalitumika pia kuzaliwa watoto na pia yalitumika kwa ajili ya watu wanaoaga Dunia wawe na mauti yenye heshima ya kiutu na sonafi zao kupaa kwenye Kosmosi zikiwa na pumzi iliyokuzwa nguvu ya uhai wake na pasipo shida.
Gosia: But why did they need this if they were interstellar beings, they had ships, they could already travel through the universe, and they already had astral and psychic powers? Because I understand that they have been built before the 3D imposition. Why did they need a pyramid block on Earth for this?
Gosia: Lakini kwanini walihitaji haya ikiwa wao walikuwa ni watu wa kiintastela, watu walio na vichukuzi vya kupelekana nyota hata nyota, mbona walikuwa tayari wanaweza kusafiri kote katika ulimwengu wa nyota, yunivasi; na tayari walikuwa na nguvu za kisaikia na astrali? Kwa sababu naelewa kwamba mapiramidi yalijengwa kabla ya Dunia kubanwa katika upumzi 3D. Je, ni kwa nini walihitaji jengo piramidi kwa ajili ya hili?
Swaruu: Because you always want to have even more mental power. And because with a perfectly functioning pyramid like that you no longer need a spaceship. We are talking about more advanced technology than the use of starships.
Swaruu: Kwa kuwa daima unahitaji nguvu hata zaidi za umentali, uakili. Na kwa kuwa ukiwa na Piramidi lenye kufanyakazi kwa ukamilifu kama huo haukihitaji kichukuzi-uspesini. Tunazungumzia tekinolojia iliyosongambele zaidi kuliko matumizi ya vichukuzi-nyota.
Gosia: More advanced than the ships?
Gosia: Iliyosongambele kuliko vichukuzi?
Swaruu: If you can manifest a ship with your mind, you don’t need a ship. From a physical plane as 5D was then on Earth, yes, you need a ship. With pyramids like this you do NOT need ships, or dimensional portals. YOU are the portal.
Swaruu: Ikiwa unaweza kudhahirisha kichukuzi kwa akili yako mwenyewe, haukihitaji kichukuzi. Kutokea kwenye uwanda wa ulimwengu ulio na maumbo ya kimwili, uwanda fizikali wa upumzi 5D kama ambavyo kipindi kile Dunia ilikuwa, ndiyo, unahitaji kichukuzi. Ukiwa na mapiramidi kama hivi HAUHITAJI vichukuzi fizikali, ama tuseme potali, malango ya kupasua pande za upumzi wa ulimwengu wote mzima. Wewe ni potali.
Gosia: So these 5D people were aspiring towards higher dimensions. Or were pyramids made by beings who were already beyond 5D? Or both? Perhaps the “gods” of that time were really beings from beyond 5D FOR inhabitants of 5D colonies.
Gosia: Kwa hivyo hawa watu wa 5D walikuwa wamepania kuelekea kwenye mapana zaidi ya upumzi, dimensha za juu. Au Je, mapiramidi yalitengenezwa na watu wenyekuwa tayari mbali kupita 5D? Au yote mawili? Labda "miungu" wa wakati ule walikuwa watu kwenyekuwa kuja chini wakitokea mbali zaidi ya 5D kwa wenyekukaa katika makoloni ya u-5D.
Swaruu: The pyramids were built by a 5D Earth but by beings with understanding far superior to 5D.
Swaruu: Mapiramidi yalijengwa kwa Dunia ya u-5D ila na watu wenyekuwa na uelewa wa hali ya juu kwa u-5D.
Gosia: And distribution of free energy was also one of its functions then or was that secondary?
Gosia: Na je, usambazaji wa nishati huria ilikuwa ni moja ya kazi zake kipindi hicho ama ndiyo ilikuwa hiyo kwenye upili?
Swaruu: That is a by-product of the pyramids. They weren’t built for just one reason. And they were on planetary ley lines, empowering and cooperating with one another. Energetically all the pyramids are connected. And they are all over the world. It is a network of pyramids, only its exterior is made according to each region.
Swaruu: Hilo ni zao la pembeni la Mapiramidi. Hayakujengwa kwa sababu moja tu. Na yalikuwa juu ya mistari ya lei ya kisayari, kuyatia nguvu na kuyashirikishia madhumuni ya kazi zake kwa moja na jingine. Kiunishati mapiramidi yote yameunganika. Na yako kote ulimwenguni. Ni mtandano wa mapiramidi, ni muonekano wake wa kinje unafanywa kulingana na eneo.
I need to say something important on the subject of Sumerian Tablets. Why I want this to be known. My motivation to give this information. Because what is said in the Sumerian Tablets, that the human was created, only follows the same victim pattern that humanity is under. Of “why should I make an effort if they limited me? Poor me... save me, save me.”
Ninahitaji kusema kitu kimoja muhimu kwenye kisomo hiki cha Vibao-Khabari vya Sumeria. Kwa nini ninataka haya yafahamike. Nia ya msukumo wangu kutoa khabari hizi. Kwa sababu kile kinachosemwa katika Vibao vya Sumeria ya kwamba mwanadamu aliumbwa, ni jambo lenye kufuatisha tu maua-habari ya uhanga wa kibinadamu ambao ubindamu upo chini yake. Wa "Je, kwa nini ningalifanya jitihada ikiwa wao walifunga uwezo? Maskini miye... Niokoe, niokoe."
There are millions of trillions of different species in the universe. The anthropomorphic is the norm, not the exception. There are species that are very much like humans, much more than us, others you could not even understand them as something alive, much less as something with an interstellar civilization.
Kuna mamilioni ya matrilioni ya viumbe vya unasaba tofauti tofauti ulimwenguni, katika yunivasi. Maumbile ya ubinadamu, kianthromofu, ni mwendo wa kawaida, siyo utofauti wa kipekee. Kuna viumbe unasaba uliowenyekufanana sana na wanadamu, sana kuzidi sisi, wengine hauwezi hata kuwaelewa ikiwa ni kitu kilicho na uhai, uelewa haba kama ni kitu chenye usivilai wa kiintastela, ustawi wa nyota moja hata nyingine.
It is to liberate the human being. That is the core of everything I want to share. That humans have control over themselves, over their destiny, over who they are. What I am trying to do here is free your minds.
Ni kumuweka huru mwanadamu. Hichi ndicho kiini cha kila kitu ninachoshiriki shauri. Kwamba wanadamu wanaouthibiti wa mambo juu ya wao wenyewe, juu ya jaala yao, juu ya wao ni akina nani. Kile ninachojaribu kukifanya hapa ni kuziweka huru akili zenu.
....
+++++
Hmmm