Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Leo ni siku ya tano au sita nashindwa kuingia kwenye blog hiyo. Je, kuna yeyote anayeijua kulikoni?
Anuani imebadilika na sasa ni www.michuzi-blog.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni siku ya tano au sita nashindwa kuingia kwenye blog hiyo. Je, kuna yeyote anayeijua kulikoni?
Ahsanteni sana waungwana maana ningeendelea kung'aa macho mpaka liamba, kweli kuuliza si ujinga.
michuzi aje humu ndani ya JF aeleze nini tatizo maana blog yake hakuingiliki eti we are not authorized,kuna mtu ana namba yake ya simu?
Angalia kwenye KLH News.. kuna ujumbe wake
umenikumbusha ya Mkapa alivyowaita watz wavivu.Msiwe wavivu wa kutafuta habari sio lazima aje jf asema kulikoni na blogu yake........
....heri mimi sijasema.....Nadhani hawa wavivu ndio wale wanaopost picha zao wakiwa kwenye ma party ulaya kisha michuzi anazipost. Yaani vichekesho kwelikweli!
Msiwe wavivu wa kutafuta habari sio lazima aje jf asema kulikoni na blogu yake........